Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Daaa ndiyo wabunge ndicho kilicho wapeleka,, wamevimbiwa matumbo wanafanya mazoezi mpaka bungeni
 
Nina uhakika wa asilimia mia kuwa, yule aliyefanya vituko vya sarakasi, angekuwa ni kutoka chama tofauti na CCM, angetolewa nje na polisi. Na pia, angeweza kutupwa nje ya bunge hata zaidi ya mwaka, na bado angepelekwa kwenye kamati ya maadili!
Kuna yule aliyetishia kuondoka na Ile Siwa. Lkn pia ukimsikiliza vzr mwanzoni kama alitoa tusi vile
 
Kwani walifanya vituko ili kuomba mapenzi au kuweka msisitizo kwa hoja zao kufanyiwa kazi?
Kufanya vituko kwasababu yakuonyesha msisitizo huo ni ujinga kama ujinga mwingine.Kama huo ndo u serious wake wa mwisho wa huyo mheshimiwa kwenye kuonyesha msisitizo unadhani ataweza jambo gani jingine kubwa yeye kama mbunge wakutumainiwa na wananchi wake maskini na kwataifa kwaujumla.Usitetee ujuha.
 
Wakuu nauliza !!

Je ule utaratibu wa kuondoa shilingi ili kupinga hoja umeishia wapi???Sijasikia muda mrefu mbunge kaondoa shilingi. Naona watu wanaruka sarakasi wengine wanalia
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.

View attachment 2237360

View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni

Nchi yetu kuendelea itachukua muda. Aliyepanga kuufuta Upinzani bungeni kwa kuwaibia kura za ubunge alikuwa mpumbavu wa mwisho duniani. Maana mwisho wa siku kinachoendelea ni vihoja na vitimbi bungeni. Yani unataka CCM ibaki bungeni ifanye mambo ya aibu, alaaniwe milele.
 
Wakuu nauliza !!

Je ule utaratibu wa kuondoa shilingi ili kupinga hoja umeishia wapi???Sijasikia muda mrefu mbunge kaondoa shilingi. Naona watu wanaruka sarakasi wengine wanalia
Ukiondoa shs, wanakuita kwenye kamati ya wabunge wa ccm, wanakutuhumu unasaliti ilani ya chama, wanakutishia 2025 jina litakatwa,
Inabidi uwe mpole, uendelee kuchumia tumbo, watoto waende toilet
 
Back
Top Bottom