Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

Ukiondoa shs, wanakuita kwenye kamati ya wabunge wa ccm, wanakutuhumu unasaliti ilani ya chama, wanakutishia 2025 jina litakatwa,
Inabidi uwe mpole, uendelee kuchumia tumbo, watoto waende toilet
Unaambiwa itokee ajali ukitoka bungeni,au umedondoka chooni au ufutwe uanachama. Hakuna kitisho cha kusubiri 2025.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.

View attachment 2237360

View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Kwahiyo kabla ya maarufuku sarakasi ziliruhusiwa?
Na kupondapinda meza sio sarakasi?
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge.

View attachment 2237360

View attachment 2237364
Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
Huyu spika nae awe anapitia clip za mabunge mengine ,watu hufika mpaka kuvua nguo na kubaki uchi sembuse , ngoja akiwa nje ya Bunge 2025 ndo atajua hajui , sioni shida KWa alichofanya Mbunge japo najua yuko pale hakushinda
 
IMG-20220526-WA0515.jpg
 
Amepiga marufuku baada ya kusoma uzi hapa JF
 
Bunge Live... Kila mmoja anatafuta namna ya kuonekana kwa wanachi wake.
Unajadili nn na watu walioiba uchaguzi?
Walidanganywa na lile chizi kwamba nchi haina maendeleo KISA wamechagua wapinzani! Sasa wapo wenyewe wanaanza kupiga SARAKASI wengine wanalia
Ujinga ujinga tu
Alaaniwe punguani yule
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom