Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

Bungeni: Zungu ashauri ukusanyaji wa mapato kupitia Data

Tanzania tunaishi maisha magumu sana wengi wetu,walamba asali wachache ndo wanakula shavu.
 
Badala ya kuja na mikakati ya kukuza uchumi, ajira n.k wao wanafikiria namna kunyang'anyana hichi kiduchu alichonacho mwananchi.
 
Naunga mkono na miguu, kichwa na mdomo, pua hoja hii, naungana na Mh. Zungu, nchi zote zimewekeza kupata kodi kupitia data, calls, sms, kutuma na kupokea fedha mtandao, hapa kwetu serikali haipati kodi yoyote kupitia data.. Data kodi yake serikali ingepata kubwa sana
Toa ujinga hapa.Ni nchi gani hizo zenye watu wajinga kama hapa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Safi sana!
.
Dikteta alishakufa!

Mungu fundi

Tunapumua

Sukuma gang inakomeshwa

Mama siyo dhalimu

Dikteta aliua sana watu

Weka tozo mama hadi za kupumua maana democrasia imetamalaki.
Kwani ni uongo hajaua watu???
 
It's time zungu apumzike kila anachokiwaza kina negative impact kwa taifa
Tozo
Data
Hawa ndo implants ambao Wapo kuhakikisha mama anafeli
 
😁😄
 
Back
Top Bottom