KichwaNgumu254
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 1,284
- 1,152
Ni mtu mwendawazimu tu ndiye atakayekua anashangaa kuwepo kwa omba omba, dunia yote hata kule Europe ambako wanatoa pesa kwa wasio na kazi kila mwezi na bado kuna omba omba, sidhani kama ni jambo la kushangaza kwasababu hakuna nchi duniani isiyo na omba omba.
Kwanini wanakuja Kenya?, jibu hilo hapo limepatikana leo hapo mahakamani, kwamba kuna watu wanawaleta huko kama vile matajiri wa madawa ya kulevya wanavyotumia watu kwenda kuwabebea mizigo yao, huku Tanzania huwa wanadhibitiwa sana wasizagae mitaani, nchi pekee ambayo haifuati sheria na vyombo vya ulinzi vimejaa rushwa ni Kenya, ambapo wanaweza kuingia na kuishi bila kufuata sheria, ndiyo sababu wanakimbilia huko. Kitendo cha mahakama kuwafunga hao jamaa ni dalili nzuri kwamba sasa hivi Kenya inaanza kufuata sheria mlizojiwekea badala ya kuongoza nchi kienyeji, hongereni sana[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
This is an epidemic and they're not in small numbers! Human trafficking is different from drug trafficking, wacha rongo zako...trying to justify your social-safety-net breakdown mpaka you are exporting beggers plus minors!