Bungoma court sentences Tanzanian men to 42 years in jail


This is an epidemic and they're not in small numbers! Human trafficking is different from drug trafficking, wacha rongo zako...trying to justify your social-safety-net breakdown mpaka you are exporting beggers plus minors!
 
This is an epidemic and they're not in small numbers! Human trafficking is different from drug trafficking, wacha rongo zako...trying to justify your social-safety-net breakdown mpaka you are exporting beggers plus minors!
Tatizo ninahisi ninajadiliana na mtu mwenye uelewa mdogo wa akili, nani qnalinganisha human trafficking and drug trafficking, wewe kichwa yako ni mbovu sana, mimi nimekuambia jinsi wanwvyofika huko ni kundi la watu wanawatumia kwa kuwaleta huko the way matajiri wa madawa ya kulevya wanavyowatumia watu kwa kuwasafirisha nchi za nje.

Wala msijaribu kukuza hili suala, hao beggars hawawezi kuzidi hata 100 huko Kenya, kama kuna ushahidi wowote ule wa idadi yao tunaomba utuletee, acha kujaribu kukuza jambo, mbona sisi huku kila leo tunawakamata au kuwapiga risasi majambazi toka Kenya na hatusemi ni epidemic?, nani mwenye madhara kati ya omba omba na jambazi?.
 


Hao ni chadema? Kama ni chadema msiwaachie, wanawapenda sana Wakenya hao!
 

Shauri yako na omba omba wenu. Fact ni kuwa it's an epidemic all over Kenya na ni aibu sana mnavyokohoa hapa kwa utangamano wa jamii zenu huko Tz kuwa na mambo haya. Kwetu sisi ni ajabu kwa sababu hatupendi uzembe
 
Huwa wanakataa ati hakuna,leo hii wameanikwa wazi. I've seen these beggars even in smaller places like Salgaa, Mai Mahiu (highway stop-over centres).

Ndio zao hujitoa ufahamu, ilhali wazembe kwa kwenda mbele, ujamaa uliwalemaza na kuwafanya waishi maisha ya kuomba omba na ushirikina, mataifa yote hadi DRC, Sudan Uganda hatuoni raia wao wakija kujiaibisha huku.
Hawa Watanzani wana liinchi likubwa lenye rotuba na madini kote lakini maskini wa kutupwa. CCM ni majanga tatizo hawana ujasiri waogaaaaa
 
Narudia tena fukuza wote kama kweli ni watz
 
Ombaomba wapo kila kona ya dunia kwani wote ni watz so usichukulie watanzania wote ni kama omba omba jua tu kuna wengine ndio hulka zao na wengine ni bahati mbaya tu kuwa omba omba
 
Sio janga bali ni changamoto kwa walio wengi ila sio janga kutojua kiingereza. Ni janga kutoelewa hata ile lugha yako ya taifa Kiswahili.
 
Ama kweli akili ni nyewele kila mtu ana zake. Mbona hata Tanzania kuna wahamiaji wengi wakenya kuliko kutoka nchi zingine zote za ukanda huu? Tena wengine tumewafunga kwa wizi wa aina mbali mbali (mkubwa kwa mdogo) .

Hivi ulizingatia swala la lugha kuchangia watu wa hizi nchi mbili kutembeleana? Ulizingatia swala la chakula pia? Unaweza kumlisha UGALI NA MAHARAGE Msudan au Msomali? Wakenya wa JF ni kichekesho sana.
 

Ahhh! Wapi...
Vitu mnavyowakamatia Wakenya huko na pia kuna Watanzania wanaokamatiwa huku, ni jambo la kawaida kwa mataifa yaliyopakana kuwa na watu wanaovuka mipaka na kujihusisha kwa shughuli mbali mbali. Waganda tuko nao maelfu, huku tuna Wanyarwanda, Warundi, Watanzania, Wasomali, Wasudani, Waethiopia n.k.
Wote hao wanajishughulisha kwa mambo mbali mbali na kuna wale hukamatwa kwa makosa makosa ya jinai....

Lakini kwa wageni wote kutokea mataifa yote hayo, Watanzania ndio pekee yao hupatikana wakiomba omba, laana kabisa ya kiujamaa na uzembe wa kutupwa kuleeee!!! Japo ni baadhi ya Watanzania maana tunao wa kutokea Kilimanjaro, Wachagga, hao kwa kweli siwezi kuwasema maana wana bidii na hutakuta wakiomba omba.

Kila siku mtakua mnabishia lakini nyie ni wazembe wa kutupwa, nchi yenu imewashinda kuitumia ipasavyo, mna kila kitu, nchi kubwa yenye rotuba, madini vivutio vya watalii, kwanza ni nchi mbili zilizounganishwa kwenye muungano, lakini wazembeeeee!!!!

Ni aibu sana kwa liinchi lenu kuendelea kuwepo kwenye hii picha hapa chini
 
Kwa fake news tuu wakenya hajambo, mnajuwa kupika data na kujifanya mna uchumi mkubwa lakini ukiamua kupiga hesabu kutoka nyanja moja hadi nyingine, hamna tofauti na Burundi. Kenya ni nchi iliyosimama kwa nguvu ya madeni, siku wenye madeni yao wakiyataka jina la Kenya litabaki kwenye vitabu vya historia.
 
Sisi kwetu tuwaachia
 
Wazembe wamezaa wachapa kazi, tazama takwimu zinavyobadilika in whose favour, kuanzia economy growth, food security and overall security, export and imports, tourism, infrastructure etc, hapo tunatoka awamu hii hii. Tambua Ethiopia IPO kwa nchi unaziita wazembe.

Nyinyi MNA hatari ya kushuka, na hayo madeni yenu na insecurity, sisi tunapanda. Kwa iyo usitukane mamba hujavuka mto. Nyinyi wenyewe msingepaswa kuwa hapo. Wazembe tu, Korea walikuwa worse, Malaysia, Philippines etc, wapo wapi sasa, na nyinyi mpo wapi, uzembeee. You're just better on de papers. Danganya wasioijua Kenya
 

Hawa ndugu zenu muwasaidie kwa kuwaambia wachakarike, mambo ya ujamaa hayana nafasi tena kwenye karne hii, kila mtu apambane na hali yake, aje awe hata fundi wa viatu, mbeba mabox na mengineyo, lakini kuchomwa na jua akiomba omba mnatia aibu, Waganda na majirani wengine wote hawafanyi huu upuzi.

 
siamini kama hap kweli ni watanzania , maana tanzania kuna kila kitu pia serikali inatoa pesa kwakila maskini kila mwezi # so it's ridiculously to Heard that idiout news from jaruo kenyano
 
siamini kama hap kweli ni watanzania , maana tanzania kuna kila kitu pia serikali inatoa pesa kwakila maskini kila mwezi # so it's ridiculously to Heard that idiout news from Kenyan# in short for normal citizens Tanzanian they have good life compared to you Kenyan besides cooked GDP
 
Hao ni chadema? Kama ni chadema msiwaachie, wanawapenda sana Wakenya hao!
Low thinking capacity [emoji87] [emoji87] Watanzania kazi tunayo vitu vingine soma utembee sio kila kitu unacomment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…