Bunju Complex ni mali ya Mo, si mali ya Simba SC

Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.

Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.

Boss hii ni Africa
Hakuna chochote wanachama wa simba wamewekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi?

Press hua inatoka kwa body ya wakurugenzi inayoongozwa na Mo alafu pia kuna voting right/power.

Lakn pia, hisi ziliso salia zinauzwa kwa watu/mtu..kwa taarifa zilizopo.. Mo 49%, kuna mdau ana 10%, So 49+10=59, hisa ambazo bado ni hizo.

Na mchakato utakapo kamilika mwakan, watu wachache wanaweza nunua zilizo baki, wanachama wao watapewa 10%.

Huwez uka stake 0 alafu ukamfanyia maamuz aliweka bil 20, hakuna kitu kama hicho.
 
Haya sasa kigodoro icho toka jangwani kimekurupuka hakijavaa hata chupi kimeanza umbea.
 
Simba ni kampuni na taratibu zote zipo wazi. Subiri utatoka mchanganuo wa kuendesha kampuni. Ngoja kwanza tuchukue kadi zetu za bank na equity tuzindi ingiza pesa ya ujenzi.
 
Haunaga makuu kabisa

Mjukuu wa kilomoni.
Huwa sipendi kuichosha akili Mtani kwani huwa naingia JF kwa ajili ya kuipumzisha baada ya shurba za kupambana na hali yangu. 😀😀😀

Hivyo yule Mkuu anisamehe tu kwani sinaga muda wa kuandika migazeti.
 
Nenda kasome vizuri mkuu.

Kwa sheria iliyopitishwa

Vilabu vilivyoanzishwa na wanachama
Mwekezaji yeyote atayekuja hawezi miliki Hisa zaidi ya 50.

Na hizo 49 hatakiwi hazimiliki peke yake. Inabidi zigawanywe kwa wawekezaji si chini ya watatu.

Kwaiyo sheria inamtaka mo hizi 49 bado awapunguzie wengine wawili.
 
Huwa sipendi kuichosha akili Mtani kwani huwa naingia JF kwa ajili ya kuipumzisha baada ya shurba za kupambana na hali yangu. 😀😀😀

Hivyo yule Mkuu anisamehe tu kama nimemjazibisha.
Naelewa mtani ni matumaini hata yeye

atakuwa kakuelewa pia.
 
Mbona lilitolewa ufafanuzi mkuu hili tena na MO mwenyewe, wakati sheria inapitishwa wao tayari walishafanya maamuzi ya yeye kumiliki hizo 49%, kwakua sheria ilimkuta tayari yuko hvyo hilo halibadiliki

Ni kweli hutakiwi miliki zaid ya 50% mtu mmoja , lakani hakuna anae mzidi 49% zakwe kwenye umiliki pia

Yeye ana 49%
Ane mfuata ana 10%

Hisa ambazo bado hazijafanyiwa maamuz ni 41%

Na hata hizo ambazo zitakuja kuuzwa kwa wanachama anaweza kufanya kama KUSAGA anavyo miliki hisa WASAFI MEDIA kupitia mkewe , yaani akazinunua yeye mwenyewe ila kupitia mtu mwingine....hata huyo mwenye 10% hawakumtaja, inawezeken yeye kaweka mtu

Sisi mashabiki tubaki kupata burudani , tukiwa na cha ziada tukanunue hisa , tuiombee club ifanikiwa ...baaasi
 
Hahaha
Sio kwa serikali hii ya maghufuli.

Mimi mwenyewe nimepanga chukua vipande vyangu kadhaa vya hisa.
 
Kama Kilomoni wameweza mnyamazisha tena kisheria, we subiri tu

Hawa wenzetu kuna mambo wanatuzidi
Ubaya wa serikali za Africa
Kwenye kupindisha sheria ni namba mmoja.

Hizi timu mbili zimebeba hisia za watanzania wengi sana. Siku mambo ya naenda sivindivyo wakaanza Lilia timu zao hizi.

Sheria zinaweza pindishwa
Rejea kwa manji alivyopokonywa hisa zake za tigo.


Imani yangu wawekezaji wote
Watakuwa na adabu na mimi binafsi naimani sana Mo
 
Kwani uwanja ukiwa wa mo sisi wachezaji na mashabiki tunapata hasara gani
 
Kwa hiyo uwanja wa Emirates stadium sio mali ya Arsenal ni mali ya shirika la ndege la 'The Emirates'
 
Hilo linafahamika
 
Kwani uwanja ukiwa wa mo sisi wachezaji na mashabiki tunapata hasara gani
Mimi ni shabiki wa Simba, timu ikiwa ya wanachama mimi kimaslahi sifaidiki na chochote, ikiwa ya Mo, mimi sifaidiki kimaslahi, mie naipenda Simba ifanye vizuri uwanjani napata furaha ya nafsi yangu na hilo kwangu linatosha.

Mie sio mwanachama wala mmiliki wa Arsenal ila naumia sana na matokeo uwanjani, kwangu na watu wengi ni performance uwanjani, basi.
 
Chukueni bakuli tena
Your browser is not able to display this video.
 
Sisi wanasimba shida yetu ni burdan ya mpira masuala ya umiliki wa viwanja havina faida yoyote namm, kwan kiwanja cha emirate kinakufaidisha nn ww mshabiki nguli wa arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…