Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Hakuna chochote wanachama wa simba wamewekeza kwenye simba , ulishawah kuona press release ya simba iliyotoka kwa hao wanachama? Au hata press release yeyote yenye maamuzi yeyote ikiwataja kama sehemu ya walio fanya maamuzi?Mmiliki wa Simba
Ni wanachama wa Simba na ndio wenye hisa nyingi.
Na ukijue waswahili wakiamua walete kelele hisa zake mo ataziona chungu na kuzikimbia.
Boss hii ni Africa
Press hua inatoka kwa body ya wakurugenzi inayoongozwa na Mo alafu pia kuna voting right/power.
Lakn pia, hisi ziliso salia zinauzwa kwa watu/mtu..kwa taarifa zilizopo.. Mo 49%, kuna mdau ana 10%, So 49+10=59, hisa ambazo bado ni hizo.
Na mchakato utakapo kamilika mwakan, watu wachache wanaweza nunua zilizo baki, wanachama wao watapewa 10%.
Huwez uka stake 0 alafu ukamfanyia maamuz aliweka bil 20, hakuna kitu kama hicho.