Burger mitaa ya Posta

Burger mitaa ya Posta

Kipindi fulani miaka ya nadhani late 80's na kurudi nyuma kulikuwa na Kiosk kimoja hapo Mitaa mbako baadae ikaja kuwa maeno ya Billicans club.

Ilikuwa wanauza Hamburgers matata sana, taste ya zile hamburge, ile beeef kile kitunguu na ile buns mpaka leo I can taste them.

Nani alikuwa owners wa hiyo kitu na alishia wapi, by now angekua na Chain ya hizo.
Ilikuwa burger exceptional sana wakati ule.. bei SHILINGI 5 unapata moja chap na coke baridi kabla ya kuingia Empire cinema[emoji1787]
 
Umenikumbusha miaka ya 2000 Steers walivyokuwa wamoto mitaa hyo, hapo kulikuwa na imalaseko super market, kitega uchumi jengo lililokuwa linatamba na ndio clouds walipokuwa. Bila kusahau mitaa ya ohio street kwenye huduma pendwa
Yeah,nakumbuka niliingia Steers 2007 unapanda gorofani hapo,nilikuta watu wenye hadhi na wasafi.Tuliingia kuosha nyota hapo na Manzi angu flani wa Marangu kule.umenikumbusha mbali
 
I agree, zile burgers zilikuwa nzuri sana. Ilikuwa opposite na jengo la Extelecoms kwa nyuma
 
Sina uhakika kama Steers ipo bado, Best Bite ipo , ila sija kwenda zidi hata ya miaka 20 , KFC sipendi chicken burgers , kiujumla burger nilizo penda ni Buger King (hatuna Bongo) na ile iliyo uzwa pale Petrol ststion kwenye container Morocco na sasa walihama kupisha upanuzi wa barabara , sijui wako wapi kwa sasa na mwisho ni hiyo Burger joint iliyo kuwepo hapo Posta zamni , naamini taste ya ilikuwa Nzuri sana .

walihamia leaders club kuna kontaina pale mlangoni
 
We kaka lazima utakuwa Kibonge......maana unapenda Sana masaptsapta......... Kinondoni mwanamboka Kuna Kays burger,ana burger tamu sanaaaa.
 
Back
Top Bottom