Burger mitaa ya Posta

Ilikuwa burger exceptional sana wakati ule.. bei SHILINGI 5 unapata moja chap na coke baridi kabla ya kuingia Empire cinema[emoji1787]
 
Umenikumbusha miaka ya 2000 Steers walivyokuwa wamoto mitaa hyo, hapo kulikuwa na imalaseko super market, kitega uchumi jengo lililokuwa linatamba na ndio clouds walipokuwa. Bila kusahau mitaa ya ohio street kwenye huduma pendwa
Yeah,nakumbuka niliingia Steers 2007 unapanda gorofani hapo,nilikuta watu wenye hadhi na wasafi.Tuliingia kuosha nyota hapo na Manzi angu flani wa Marangu kule.umenikumbusha mbali
 
I agree, zile burgers zilikuwa nzuri sana. Ilikuwa opposite na jengo la Extelecoms kwa nyuma
 

walihamia leaders club kuna kontaina pale mlangoni
 
We kaka lazima utakuwa Kibonge......maana unapenda Sana masaptsapta......... Kinondoni mwanamboka Kuna Kays burger,ana burger tamu sanaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…