TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

Ndugu yangu Mohamed Said,umeweka simulizi nzuri lakini mara zote kama kawaida moyo wako haukubali kama Nyerere alikuwa Rais wa kwanza wa TANU, Tanganyika,Tanzania na CCM.Unaamini kuwa kuna watu wako walistahili,ulitamani leo Hamza (RIP) na Abdul (RIP) ndio wawe wenye kuelezea historia ya nchi hii,unaamini Julius hajui historia ya nchi hii.Ni dhahiri moyo wako unatoa machozi kwani historia haiko kama unavyotaka.Uongozi ni riziki itokayo kwa Mola!
Wakudadavua,
Hakika Allah ndiye mpaji.

Umeona Abdul Sykes na wazalendo wengi walifutwa kwenye historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika kwa miaka mingi sana.

Leo tuko hapa tunamzungumza Abdul Sykes karibu mwaka wa 20 sasa na kisa chake kimekuwa historia isiyomalizika.

Mwaka wa 2011 nilisimama Northwestern University, chuo kinachoongoza ulimwenguni katika African History nikamzumgumza.

Hii ni riziki kutoka kwa Mola kama ulivyosema.

1621251145006.png
 
Kuna kaji ka ukweli fulanihivi ,
ila kwa vile mimi kwa kuwa si muandishi mahiri nilidhani ndio sikufahamu mada yake.
Ni aina ya uandishi wenye Deep ubdrstanding of story.
Ilipaswa iwe kwanza habari za Kifo chake kisha ndio ifuatie maelezo mengine.

Lakini Maandiko yenyewe pia ni matamu kasoro ni mpangilio tuu ndio ume tutatiza,
Battawi,
Kila mwandishi na staili yake.

Nakushukuru.
 
Leo siku ya Sykes, lakini badala ya kuandika tazia ya Sykes, umeandika kitu kimejaa Nyerere kuliko Sykes!

Mengi sana yamefichwa maana TAA ni mtoto wa huyu mwamba Martin Kayamba asiyetajwa kwa makusudi na wazee wa TAA, TANU, CCM, CCM Mpya na CCM Asilia

The Nationalists

TANU (the Tanganyika African National Union)
, the political party which took Tanganyika to Independence in 1961, was only founded in 1954. But it had many antecedents. The Tanganyika Territory African Civil Service Association had been founded by Martin Kayamba in 1922, to bring together Muslim and Christian civil servants in Tanga, and in 1929 this had been reformed as the African Association, open to all Africans, with branches in all the major towns. The trade union movement developed in the docks in Dar es Salaam and Tanga, and unions were also created in the mines, on the railways and in the sisal plantations. A series of strikes demonstrated their power to challenge the colonial state .....

The Story of Martin Kayamba : part I

By Martin Kayamba, 1935


Read more : Source : The Story of Martin Kayamba (I)

By Martin Kayamba, 1935
The Tanganyika Territory African Civil Service Association had been founded by Martin Kayamba in 1922, to bring together Muslim and Christian civil servants in Tanga, and in 1929 this had been reformed as the African Association, open to all Africans, with branches in all the major towns
My Life and Work in East Africa

I was born on 2nd February, 1891, at Mbweni, Zanzibar. I am the first son of Hugh Peter Kayamba. He is one of the sons of Chief Mwelekwanyuma of Kilole, son of Kimweri Zanyumbai (Kimweri the Great) King of Wakilindi. The Wakilindi are a ruling clan, who ruled over the Wasambaa and other tribes in the coastal areas of Tanga prior to the German occupation of these countries. The first Mkilindi named Mbega came from the hills in the Handeni area. He was a famous hunter and through his hunting prowess and generosity was chosen by the Wasambaa to be their ruler. Chief Mwelekwanyuma was appointed by his father as Chief over the Wabondei and the Coastal section from Pangani to Vanga.
View attachment 1775960


View attachment 1775961
Source: TEN AFRICANS : MARGERY PERHAM : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

READ MORE source : The Story of Martin Kayamba (I)

Page-105-pic-6-Hugh-Peter-Kayamba-Henry-Masibu2-179x300.jpg
M
Photo : Martin Kayamba’s father Hugh Peter Kayamba (left) and Henry Masibu (right). Photo courtesy of www.bloxhamschool.com
 
The Story of Martin Kayamba : part II
By Martin Kayamba, 1935


My Visit to England

Since 1924 there had been a rumour in East Africa about the proposed federation of the East African Territories, i.e. Kenya Colony, Uganda Protectorate and Tanganyika Territory.

The Ormsby-Gore Commission was sent out in 1924. It toured through the East African Territories and eventually made its report on the matter. The Hilton- Young Commission was sent out to East Africa in 1927 on the same question and made its report, as the result of which the Joint Committee on Closer Union of the East African Territories was appointed in England, composed of members of the Houses of Lords and Commons, to make further inquiry into the matter.

The Joint Committee required witnesses to be sent to England to give evidence before the Committee on the subject, and for the first time in the history of the British Empire, and East Africa in particular, three Africans were required from each of the three territories of East Africa, i.e. Kenya, Uganda and Tanganyika Territory, to go to England to give evidence to the Honourable Committee, on behalf of ten million natives inhabiting these territories.

The following were selected to represent Tanganyika: Chief Makwaiya, K.M., of Shinyanga, Mwami Lwamugira, K.M., of Bukoba, Mr. H. M. T. Kayamba of Tanga (the writer).

Read more : The Story of Martin Kayamba (II)
 

Tuesday, September 26, 2017​

Mchango wa Familia ya Sykes Katika Historia ya Tanganyika/Tanzania​





Familia ya Sykes ni moja ya familia muhimu katika historia ya Tanzania. Kuanzia Abdulwalid Sykes, Abbas Sykes, na wengine katika familia kuna mengi yanasemwa kuhusu mchango wa familia ya Sykes katika kwa Tanganyika/Tanzania.

Mengi zaidi yameandikwa kuhusu miaka ya hamsini, lakini pia kuna michango mingine ilifanywa miaka ya sitini ambayo haiongelewi. Moja ya michango iliyosahaulika ni katika uhusiano kati ya ASP ya Zanzibar na TANU.

Mnamo mwaka 1960, Mtoro Rehani na Eddy Kleist Sykes (dada wa Abbas and Abdulwalid), walihudhuria mkutano wa TANU kwa niaba ya ASP ambako kulifanyika maongozi ya uwezekano wa "Federation" (Ushirikisho) na "unification" (Muungano). Abbas Sykes alikuwa mmoja wa viongozi wa TANU aliyekuwa anapeleka ujumbe na pesa kwa ASP ya Zanzibar kati ya mwaka 1960 na 1963.

Mwaka 1961 Abbas Sykes alienda Zanzibar na Ali Mogne Haloua na Roland Mwanjisi na kufanya mkutano wa siri na ASP. Abbas Sykes alitoa Shs. 7500 za TANU na kuwapa ASP. Pesa hizo zilitolewa kwa maelewano kwamba itakuwa siri.

Mwaka 1962 Abbas Sykes alienda Zanzibar na kukutana na ZPFL. Aliwaambia ZPFL kwamba TANU itaacha kuwapa msaada kama wakiendelea kushambulia ASP. Abbas Sykes alienda Zanzibar mwanzoni wa mwaka 1963 na kuhudhuria mkutano wa ASP akiwa na ujumbe kutoka serikali ya Tanganyika. Waliokuwepo kwenye mkutano huo ni pamoja na Hassan Nassor Moyo na Ahmed Diria Hassan.

Kuna mahali nilisoma kwamba serikali ya Tanzania na TANU haikutaka kuandika mahali popote kuhusu mchango wa Abdulwalid Sykes. Katika utafiti wangu, nilikuta makala moja iliyoandikwa kwenye gazeti la serikali miaka ya sabini (Daily News) yenye kichwa cha habari "Sykes One of TANU Pioneers" yaani Sykes Alikuwa Mmoja ya Waasisi wa TANU."

Makala hii inaongelea mchango wa Abdulwalid Sykes katika miaka ya hamsini. Haya ni baadhi ya mambo yaliyoandikwa katika makala hio iliyoandikwa kwa kiingereza.
Inasema: "Mr. Sykes was a founder member of Tanu. By his death the party lost one of its first pioneers. His political activities started way back before the formation of TANU. He was President of the Tanganyika African Association (TAA) from which TANU emerged."

As for the name TANU, the article asserts "..Mr. Abdul Sykes suggested the name of the new Party to be Tanganyika African Union (TAU). However his colleagues objected saying that it was very similar to Kenya African Union (KAU) that had already been banned by the colonialists. "They thought under such a name the colonialists would use the name as pretext to ban TAU.

Mwalimu Nyerere then suggested that a word "National: be included, making the name Tanganyika National African Union. "Mr. Ally Sykes a brother of Abdul Walid objected to Mwalimu Nyerere's suggestion saying that the short form of the party name-TNAU-would not be easy to pronounce. He called for another arrangement of the words. This resulted into an acceptable party title-TANU."

Makala hii ya gazeti la serikali inasema kwamba Abdul Sykes alikuwa ni mmoja wa waasisi wa TANU, kwamba alikuwa kiongozi wa TAA kabla Mwalimu Nyerere hajachaguliwa kuwa mwenyekiti wa TAA, na inaongelea jinsi wanafamilia ya Sykes walivyochangia kuja na jina la TANU.

Ni wazi kwamba Tanganyika haikupata uhuru kwa mchango wa mtu mmoja na pia kuna wengi walijitolea katika miaka ya mwanzo baada ya uhuru kujenga nchi hii kama ilivyoandikwa na gazeti la serikali na nyaraka zingine zilizogusia mawasiliano kati ya Abbas Sykes na viongozi wa ASP.

Kila mmoja alitoa mchango wake kwa Tanganyika/Tanzania, na pamoja, nguvu ya wananchi ilihakikisha ushindi katika harakati za kupata uhuru kutoka kwa mkoloni na kujenga nchi baada ya uhuru.

Kwa hisani ya @ Azaria Mbughuni
September 26, 2017
 
Haya basi wewe tuletee historia ya watu wawili tu unaowajua wewe kutoka huko kwenu mahenge ili na wewe tupate kukusoma na pia kuwasoma hao wachimba udongo wenzio

Watanzania mtabadilika lini na mambo yenu ya kishamba na ya kizamani kujifanya mnakandia na kusagia vya watu wakati wewe huna hata vya kuponda wala vya kupapasa

Acheni ushamba
Kwanza ujue mimi natoka Missenye. Sawa Dogo. Pili, mimi sikandii anachoandika, bali nakandia anaposema eti hiyo ndio historia ya Tanzania. Mimi namkumbusha tu kwamba, hiyo sio Historia ya Tanzania bali ya mitaa miwili ya Tandamti na Aggrey! Kosa langu lipi hapo?
 
Bagamoyo,
Mchango wa Abdul Sykes katika historia ya TANU upo uthibitisho kuwa haukutakiwa ujulikane.

Hili nimelieleza katika kitabu cha maisha yake kwa ushahidi wa mmoja wa wanajopo wa Chuo Cha CCM Kivukoni.
Alihoji kwa nini mwenyekiti anakataa kupokea ''notes'' zake kuhusu Abdul Sykes katika kuunda TANU.

Jibu alilopewa ni kuwa historia ya TANU inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul Sykes.

Huyu aliyehoji jina lake ni Hassan Upeka kijana wa Kidar es Salaam aliyekuwa katika Idara ya Usalama ya TANU toka mwaka wa 1956 baada ya kumaliza masomo Tabora School.

Alipokufa Abdul Sykes mwaka wa 1968 magazeti ya TANU, The Nationalist na Uhuru hawakuandika chochote kuhusu Abdul Sykes isipokuwa mistari michache kueleza kuwa Mwalimu Julius Nyerere kahudhuria mazishi yake.

Mhariri wa Tanganyika Standard Brendon Grimshaw ndiye aliyeandika taazia ya kueleza Abdul Sykes ni nani.
Nakuweka cutting la toleo hilo:

1621277310949.png
 
Mudeer,

Jazakallahu khair,sisi wanafunz wako siku zote hatutaacha kutandika jamvi na kupata ilmu kubwa kama hii, tafadhal kama nguvu bado ingalipo tafadhal usiache kutoa ilmu kubwa kama hii, Inshallah Allah atakulipa
 
Kwanza ujue mimi natoka Missenye. Sawa Dogo. Pili, mimi sikandii anachoandika, bali nakandia anaposema eti hiyo ndio historia ya Tanzania. Mimi namkumbusha tu kwamba, hiyo sio Historia ya Tanzania bali ya mitaa miwili ya Tandamti na Aggrey! Kosa langu lipi hapo?
Sweettablet,
Kitabu changu si kitabu cha historia ya Tandamti na Aggrey ingawa hii ni mitaa miwili ambayo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alipokelewa kwa mapenzi makubwa na wakazi wake.

Tandamti ndiko alipokuwa akiishi Mzee Mshume Kiyate ambae yeye alijitolea kushughulika na nyumba ya Nyerere kipindi chote cha kudai uhuru na baada yake.

Aggrey ni Mtaa aliokuwa akiishi Abdul Sykes na ndipo alipoishi Mwalimu nyumbani kwa Abdul Sykes baada ya kuacha kazi ya ualimu.

Mitaa hii sasa imebadilishwa majina na kupewa majina ya wapigania uhuru waliokuwa wanaishi mitaa hiyo.

Aggrey sasa ni Mtaa wa Max Mbwa na Mtaa wa Tandamti wahusika wamekataa kubadili kibao na kuweka kibao chenye jina la Mshume Kiyate sasa inakimbilia miaka 30.

Nakuwekea hapo chini sura za kitabu:
The Life and Times of Abdulwahid Sykes
(1924-1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika
Mohamed Said

Table of Contents​

Dedication
Acknowledgements
Table of Contents
Introduction

Part One​

Abdulwahid Sykes 1924-1968​

Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929
The Old Town of Dar es Salaam and its Elites
Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949
World War One 1914-1918
The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933

Chapter 2. The Second World War and Tanganyika’s Political Foundation, 1938-1945

The Burma Infantry, 1942
Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950
Dar es Salaam Port, 1947
Erika Fiah
The Dockworkers’ Union, 1948

Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954
The Tanganyika African Association, 1950
TAA Political Subcommittee, 1951
Tanganyika as a Mandate Territory
Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950
TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950
The Meru Land Evictions, 1950
Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere
The Story of Julius Nyerere, 1952
Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954
Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953
Ally Kleist Sykes

Part Two​

Mass Mobilisation and Independence 1954-1961​

Chapter 7. Mass Mobilisation 1954
The Elders’ Council and Nyerere’s Visit to the United Nations, New York, 1954
Idd Faiz Mafongo
The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950
Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952
Propagandists-The Bantu Group,1955
Incorporation of Swahili Women’s Societies into the Struggle, 1955
Football As a Political Weapon
Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces
Central Province, 1955
Southern Province, 1955
Western Province, 1955
Tanga Province, 1956
TANU in Mombasa, Kenya, 1957
Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958
The Tanga Strategy, 1958
The Debate for Tripartite Voting
Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958
Independence, 1961

Part Three​

Conspiracy Against Islam 1961-1970​

Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970
Islam: The Ideology of Colonial Resistance
The First Muslim Congress, 1962
Resistance to Change
The Second Muslim Congress, 1963
Proposal for an Islamic University, 1964
The Politics of Islam, Church, State and the African Christian
Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis’
Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis’
Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968
The Islamic National Conference, 1968
Omissions Analysed
Betrayal of Ideals
Conspiracy Theory
Epilogue
Bibliography

1621278616582.png

Kulia ni Mshume Kiyate, Julius Nyerere, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi.

Bwana Sweettablet,
Nakuwekea hiyo picha ya nyumba ambako ilikuwa kabla ya kujengwa nyumba hii ndipo ilipokuwa nyumba aliyokuwa akikaa Abdul Sykes na mwaka wa 1955 Baba wa Taifa akaja kuishi hapo na Abdul baada ya kuacha kazi na kuwa mtumishi wa TANU.

Siku Ally Sykes alipoivunja nyumba ile ya kihistoria na kujenga hili ghorofa nilikwenda ofisini kwake nikamwambia, ''Hivi baba tukiupeleka mahakamani utatulaumu?''

''Kwa kosa lipi?''

Nikamwambia umevuja ''Nationa Monument,'' kwani wewe hujui nyumba ile ndiyo aliyokaa Baba wa Taifa na Abdul Sykes na mle ndimo TANU iliundwa?''

Screenshot_20210518-140856_Photos~2.jpg
 
Mudeer,

Jazakallahu khair,sisi wanafunz wako siku zote hatutaacha kutandika jamvi na kupata ilmu kubwa kama hii, tafadhal kama nguvu bado ingalipo tafadhal usiache kutoa ilmu kubwa kama hii, Inshallah Allah atakulipa
The Big Show,
Nimefurahi kukusikia.
 
Au ni Magufuli... maana kwenye utawala wote huu wa Magufuli uliufyata. Naona kaingia wa upande wetu sasaiv ni slope..
Wewe hata ulichokiandika sikielewi.

Magufuli kafanya kazi yake aliotumwa na CCM Samia nae halikadhalika. Hulielewi hilo?
 
Chila,
Umesema kweli nina nostalgia kubwa sana na wajomba na shangazi zangu na hii ndiyo iliyonifanya nitafiti na kuandika historia ya TANU.

Hilo la vyeo umenisingizia sijapata kuzungumza hilo.
Hili la kutafutwa kuzungumza hii imekuwa kawaida - TBC, Azam, DW, BBC, ETV Hamza Kassongo on Sunday.

Harvad na University of Oxford Press New York na Nairobi wamenitia katika mradi wa kuandika historia nk.
Mialiko University of Iowa, Northwestern University, Chicago, Zentrum Moderner Orient, Berlin.

Sikutegemea hata siku moja kuwa kitabu cha Abdul Sykes kitanifikisha mbali kiasi hiki.
Kama unaghadhibishwa na haya hii ni bahati mbaya sana kwako.
 
Jina la Abbas naweza kulielewa kwa ukanda huu wa Pwani, lakini la Kleist na Sykes si rahisi kuelewa origin yake na kwa nini marehemu aliamua kujulikana nayo, ilhali hakubatizwa walla kuacha dini yake.
Nachokoza tu!
 
Jina la Abbas naweza kulielewa kwa ukanda huu wa Pwani, lakini la Kleist na Sykes si rahisi kuelewa origin yake na kwa nini marehemu aliamua kujulikana nayo, ilhali hakubatizwa walla kuacha dini yake.
Nachokoza tu!
Maso...
Ukoloni una mambo yake.
Wajerumani waliwaweka askari wao katika kambi.

Watoto wa askari hawa wote wakizaliwa katika hospitali na hapo wanaandikishwa na kupewa majina.
Mjerumani alikuwa anawapa watoto wale majina ya Kijerumani.

Lakini baba akifika nyumbani anatoa jina la Kiislam.
Watoto wanakuwa na majina mawili.

Kleist jina hili kapewa na Wajerumani na nyaraka zake zote zina jina hilo.
Sasa alipofikishwa nyumbani aliadhiniwa na kupewa jina la Abdallah.

Halikadhalika Schneider jina lake Abdillah.
Kaburi la Mzee Kleist jina la Abdallah liko pale.

Kaburi la Abbas Sykes limewekwa ''initial A,'' yaani Abdallah.

20210518_151224.jpg
 
Kwanini mtu aliyepewa jina la kikoloni, asilikane?
Maana hana asili nalo?
Miye nilidhani ingalau kuna ka dmu ka kijerumani!
 
Back
Top Bottom