TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

Safi sana.

Siioni contradiction hapo bali naona "ignorance" kwako kama kwa yule niliekuwa nampa darsa la "contradiction".

Wewe kabla ya kuumbwa ulikuwepo?

Be honest, boy.
Kama huoni contradiction hata maana ya contradiction utakuwa huifahamu hivyo basi ujitihadi ukapate elimu kwanza kabla ya kuja kufunda watu humu kwa vitu usivyovifahamu.
 
Karanga,
Hivi mimi nikukanushe wewe kwa lipi.
Mimi nalalamika.

Unajua kulalamika hadi uwe mlalamishi.
Ulosema katika yote na hakika umenisuuza ni hilo kuwa namwandika sana Nyerere.

Si kuwa namwandika tu hata kumzungumza namzungumza sana.

Nimemweleza Nyerere toka siku ya kwanza mwaka 1952 kaletwa nyumbani kwa Abdul Sykes na Joseph Kasella Bantu hadi 1999 anafariki.

Nimemweleza Nyerere kuanzia 1955 wakati anaimbiwa nyimbo za lelemama na akina Hawa bint Maftaha katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja hadi hadi miaka ya nwisho ya maisha yake jina lake likitajwa...

Subhanallah...

Nimemzungumza Nyerere Zentrum Moderner Orient, Berlin...

Nimemzungumza Abdul Sykes Northwestern University Evanston, Chicago...

Nimemwandikia Nyerere taazia alipokufa...

Ingia hapo chini:
mohamedsaidsalum.blogspot.com.

Fanya "name search," utajua kuwa ushahidi wako wa namba hauna maana yeyote kwani umeelemewa na huo utaokutananao.

Unadhani mie niko hapa kufanya mzaha na wewe?
First things first, the name is Kiranga, get it right, corrected and perfected.

Hujui unataka nini.

Hujui unaenda mbele au unarudi nyuma.

Unalalamika wazee wako wamefunikwa katika historia ya Tanzania. Unalalamika Nyerere anatukuzwa sana kuliko wazee wako wengine walioshiriki naye kupigania uhuru na hata kumkaribisha mjini.

Kisha wewe mwenyewe unamuandika zaidi Nyerere kuliko wazee wako.

Hata kwenye bandiko la msiba wa Abbas Sykes.

Unafanya kitu kile kile unachosema unakipinga.

Wewe ni kama mtu aliyetoka Mwenge Dar-es- salaam, anataka kwenda Kariakoo Dar- es-salaam kwa kupitia Bagamoyo Road.

Halafu akachukua Bagamoyo Road kuelekea kaskazini. Akapita Lugalo, akapita Tangi Bovu, akapita Africana, akapita Kunduchi, anaelekea Bagamoyo, lakini anasema anaelekea Kariakoo.

Wazaramo wanasema "Zilongwa mbali, zitendwa mbali".

Wewe Mzee wa Kariakoo bila shaka unajua maana ya msemo huu. Kwa faida ya wengine hapo Wazaramo walitoa msemo huu mahsusi kwa watu wanaosema mambo tofauti na wanayofanya.

Yani "Unachosema kipo mbali sana na unachotenda".

The cognitive dissonance you display is so thick, one could cut it with a knife.

Kama unataka watu watambue mchango wa wengine kupigania uhuru, wasiwe "stuck on Nyerere", onesha mfano, angalau hata siku ya msiba elezea maisha ya aliyefariki, si kutumia msiba kuanza kum name drop Nyerere.

Hili bandiko la kwanza umem name drop Nyerere all over bila sababu ya msingi.

It's like you can't live without namedropping Nyerere, even when and where Nyerere could take a backseat to others.For example, in other people's eulogies.

You are doing the very opposite of what you claim to do.
 
First things first, the name is Kiranga, get it right, corrected and perfected.

Hujui unataka nini.

Hujui unaenda mbele au unarudi nyuma.

Unalalamika wazee wako wamefunikwa katika historia ya Tanzania. Unalalamika Nyerere anatukuzwa sana kuliko wazee wako wengine walioshiriki naye kupigania uhuru na hata kumkaribisha mjini.

Kisha wewe mwenyewe unamuandika zaidi Nyerere kuliko wazee wako.

Hata kwenye bandiko la msiba wa Abbas Sykes.8

Unafanya kitu kile kile unachosema unakipinga.

Wewe ni kama mtu aliyetoka Mwenge Dar-es- salaam, anataka kwenda Kariakoo Dar- es-salaam kwa kupitia Bagamoyo Road.

Halafu akachukua Bagamoyo Road kuelekea kaskazini. Akapita Lugalo, akapita Tangi Bovu, akapita Africana, akapita Kunduchi, anaelekea Bagamoyo, lakini anasema anaelekea Kariakoo.

Wazaramo wanasema "Zilongwa mbali, zitendwa mbali".

Wewe Mzee wa Kariakoo bila shaka unajua maana ya msemo huu. Kwa faida ya wengine hapo Wazaramo walitoa msemo huu mahsusi kwa watu wanaosema mambo tofauti na wanayofanya.

Yani "Unachosema kipo mbali sana na unachotenda".

The cognitive dissonance you display is so thick, one could cut it with a knife.

Kama unataka watu watambue mchango wa wengine kupigania uhuru, wasiwe "stuck on Nyerere", onesha mfano, angalau hata siku ya msiba elezea maisha ya aliyefariki, si kutumia msiba kuanza kum name drop Nyerere.

Hili bandiko la kwanza umem name drop Nyerere all over bila sababu ya msingi.

It's like you can't live without namedropping Nyerere, even when and where Nyerere could take a backseat to others.For example, in other people's eulogies.

You are doing the very opposite of what you claim to do.
Kiranga,
Niwie radhi nimekosea kuandika jina lako.

Hapa ndipo ulipofika.

Nilijua huwezi kwenda mbali kwani wewe si wa kwanza.

Tulikuwa na mjadala hapa uliodumu miezi sita haujapata kutokea.

Niko peke yangu, Maalim Faiza na jamaa wawili watatu.

Wenzako walipata mshtuko kama huo wako hawakuwa wanajua kuwa historia waliyosomeshwa shule hadi vyuoni siyo.

Historia ya Abdul Sykes iliwarusha akili.

Walikuwa wanasema kama unavyosema wewe.

Hii "name dropping," nimeipenda.

Hawakupendezewa na kalamu yangu kama inavyokuhangaisha wewe.
 
Hujajibu nilichokuhoji na ulichojibu sijakuhoji.

Wewe unalalamika kwamba wazee wako wamefunikwa katika historia ya kupigania Uhuru wa Tanganyika.

Halafu wewe mwenyewe unakwenda kuwafunika zaidi, siku ya msiba wa Abbas Sykes unamuandika Nyerere kuliko Abbas Sykes.

Na hata maisha ya Sykes unavyoyaandika yanaishia kwenye msiba wa Nyerere, kama vile Sykes hakuishi baada ya kufariki Nyerere.

Hujajibu hoja hii.

Kama hata kuielewa umeielewa.
 
Mimi siko hapa kujibu maswali yako.

Mimi niko hapa kupitia wewe kusomesha historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Unalipenda hili neno "kulalamika."

Unadhani ningekuwa mtu wa kulalamika ningealikwa kote huko nilikotia mguu kuzugumza?

Hoja ya kujibu!

Hivi mie natakiwa kujibu hoja tena kutoka kwako.

Hivi mtu akiandika historia ya wazee wake anawekwa kizimbani?
 
Kiranga,
Mimi siko hapa kujibu maswali yako.

Mimi niko hapa kupitia wewe kusomesha historia ya TANU na historia ya uhuru wa Tanganyika.

Unalipenda hili neno "kulalamika."

Unadhani ningekuwa mtu wa kulalamika ningealikwa Kate huko nilikotia mguu kuzugumza?
Hujui unataka nini.

Unalalamika Nyerere anatukuzwa sana kuliko waasisi wengine wa TANU.

Halafu kwenye bandiko la kuenzi maisha ya Abbas Sykes unaenda kum name drop Nyerere mara zaidi ya mbili kuliko unavyomtaja Abbas Sykes.

Unafanya kilekile unachokisema vibaya kwamba wazee wako wanafunikwa, na wewe unawafunika.

Hujui unataka nini.
 
kuna comment hapo juu naona umeiruka kuhusu Martin Kayamba na uhusiano wake katika kuanzisha African Association iliyoizaa TAA na baadae TANU

unaweza kutoa historia japo kiduchu kuhusu huyu mtu maana inaonekana historia ya mapambano ya kuleta uhuru unaijua kiundani zaidi

Pointi muhimu sana hii katika vuguvugu la kuleta harakati za kujitawala Tanganyika ambayo haiongelewi kabisa wakati Martin Kayamba pamoja na wenzie wakafikia kwenda Uingereza mwaka 1924 kuiwakilisha Tanganyika katika kuzungumzia mustakabali wa Tanganyika.

Bagamoyo,
Martin Kayamba hakwenda Uingereza kuzungumzia lolote linalohusu Waafrika wa Tanganyika.

Soma historia yake.
Waliomjua wanasema alikuwa kibaraka.
 
Hujui unataka nini.

Unalalamika Nyerere anatukuzwa sana kuliko waasisi wengine wa TANU.

Halafu kwenye bandiko la kuenzi maisha ya Abbas Sykes unaenda kum name drop Nyerere mara zaidi ya mbili kuliko unavyomtaja Abbas Sykes.

Unafanya kilekile unachokisema vibaya kwamba wazee wako wanafunikwa, na wewe unawafunika.

Hujui unataka nini.

Wewe ndie hujui unataka nini,na hujui kuwa hujui,sasa mtu akiwa katika hali kama yako ni vigumu kidogo Kuupata ukweli,

Anachokifanya Mohamed said ni kuieleza hii history kadir ya uwezo wake na kubainisha ambayo yeye anaona yameachwa,na siyo kufuta Yale mengine ambayo yameandikwa na wengine,Mohamed said anakuambia anaelezea history ya wazee wake,wazee wetu sisi waislam ambao ama kwa makusudi au pia kw bahat mbaya sana wameachwa katika history ya wapigania uhuru wa nchi hii,

Na wala hamchukii nyerere,na hasemi kuwa nyerere hajafanya kitu katika harakat hizo la hasha,Ila pamoja na nyerere walikuwapo wengine weeengi ambao wameachwa,na yeye anaweka kumbu kumbu Sawa,

Hamchukii yeyote,na kumuelezea kwake kwa wingi nyerere ni ushahid pia Tosha kuwa hamchukii,na hakuna ubaya pia akimpa coverage kubwa vile vile,

Mohamed said anawapenda wazee wake kias Cha kufikia kuwaandika na kuweka kumbu kumbu sawa,amewapa heshima kubwa na upendo hadi inapelekea watu wengine kama wewe kuhis kuwa anawachukia wengine au anayoyaongea juu ya hao wazee kama vile hayana uhalisia,Ila vizur zaid Mohamed said anakuwekea na ushahid had wa picha
 
Bagamoyo,
Martin Kayamba hakwenda Uingereza kuzungumzia lolote linalohusu Waafrika wa Tanganyika.

Soma historia yake.
Waliomjua wanasema alikuwa kibaraka.

naona anachokifanya bagamoyo ni kuleta balance ya ambacho umekuwa ukiongea humu siku zote

Kusema Martin alikuwa kibaraka ni kitu cha kutegemewa maana familia yake hadi yeye mwenyewe walifaidika na ukoloni kama elites wa mwanzoni wa Tanganyika hivyo, isingekuwa rahisi kuaminika kama angekuwa na nia thabiti ya kuupinga ukoloni. Kwangu naona ni kawaida kwa watu wa tabaka jingine kuwa insecured

Pia naamini wewe ni picha halisi ya waliokulea katika kukipigania kile unachokiamini hivyo, sitegemei kwa njia yoyote ile kama waliokutangulia kumuongelea Martin katika mlengo chanya kwa kiasi kikubwa

Nadhani ungetusaidia sana kama ungeweka wazi kwamba huyu Martin hakuwa na mchango wowote katika kuanzisha vuguvugu za ukombozi wa Tanganyika au la

Kumuita kibaraka yaweza kuwa out of context kwa kinachojadiliwa maana hata katika awamu iliyopita kuna madaktari, wanasiasa na wafanyabiashara waliitwa majina hayo kwa kusimamia wanachokiamini.

suala kuu ni mchango wake
 
Soma MSTARI wake wa mwisho kabisa katika comment yake mzee Mohamed said,

Amesema kuwa 'wanaomjua wanasema kuwa alikua kibaraka'...

Wanaomjua...
 
Hata yeye mwenyewe simulizi zake zimeegemea kwa alioyashuhudia si yakifanyika kwa kiasi kikubwa ila kusikia watu wakiyaongelea

Hukuona amekiri mwenyewe kuwa Hata Nyerere wa kabla ya Uhuru, hakumjua kwa kuchangamana au kuzungumza nae ana kwa ana bali kwa aliyohadithiwa na wazee wake

hivyo, nitakuwa nimekosea wapi kama nikimuomba atujuze pia kuhusu bwana Martin katika njia ile ile aliyoitumia kumjua Nyerere wa kabla ya Uhuru wa Tanganyika
 
Hakika hujamsoma vizur,unasema simulizi zake zimeegemea Kwa kusikia kwa watu walioshuhudia?hao watu yeye ameish nao na wengine kukaa nao na kuwahoji,siyo Hadith za kuunga unga na kusadikika,huyo martin kayamba let say kama yeye Hana ukweli wa ndan kumuhusu yeye atakuelezea nin?That's why kakuambia kwa wanaoifaham history yake wanasema ni alikuwa kibaraka,note that,..kwa wanaomfaham
 
Mjadala unazidi kunoga, na hii ndiyo afya katika kuzidi kuwafahamu waasisi wote walioshiriki katika vuguvugu la ukombozi wa Tanganyika.
 
Hakika hujamsoma vizur,unasema simulizi zake zimeegemea Kwa kusikia kwa watu walioshuhudia?hao watu yeye ameish nao na wengine kukaa nao na kuwahoji,siyo Hadith za kuunga unga na kusadikika,huyo martin kayamba let say kama yeye Hana ukweli wa ndan kumuhusu yeye atakuelezea nin?That's why kakuambia kwa wanaoifaham history yake wanasema ni alikuwa kibaraka,note that,..kwa wanaomfaham

Kuhoji ndio kusikiliza na ndio nilichokimaanisha.

Hakuwa sehemu ya mapambano moja kwa moja zaidi ya wazazi wake waliomlea hivyo, yeye si mtu ambaye alikuwa anajua nini kinaendelea ili aamue kuchuja na kuchanganua ukweli wote kwa asilimia 100.

ndio maana simulizi zake zipo around familia ya sykes na ushawishi wa waislamu katika mapambano ya Uhuru

Kama ambavyo yeye husema siku zote
"anajua mapambano ya kichama yalipoanzia na waanzilishi wake"

brother bagamoyo kaibua jina jipya ambalo inaonekana kama ni moja ya waasisi wa hilo vuguvugu la kudai uhuru

Siamini kama kutakuwa na ubaya kama mzee Said atatoa kwa ufupi mchango wa huyo mtu na kama haujui au haukuwepo pia angeweza kusema..

kutoa neno "kibaraka" inamaanisha kuna kitu anajua na hicho ndo natala kujua..

kuna ubaya gani katika hilo
 
Anachomanisha mzee Mohamed Said
Abdul sykes yeye ndiyo alimpokea nyerere
Na alimuonesha na kumpa mbinu zote
Unaweza kusema sakes alikuwa mjanja na mjua mambo kuliko nyerere

Ova
 
Wewe ndie hujui unataka nini,na hujui kuwa hujui,sasa mtu akiwa katika hali kama yako ni vigumu kidogo Kuupata ukweli,

Anachokifanya Mohamed said ni kuieleza hii history kadir ya uwezo wake na kubainisha ambayo yeye anaona yameachwa,na siyo kufuta Yale mengine ambayo yameandikwa na wengine,Mohamed said anakuambia anaelezea history ya wazee wake,wazee wetu sisi waislam ambao ama kwa makusudi au pia kw bahat mbaya sana wameachwa katika history ya wapigania uhuru wa nchi hii,

Na wala hamchukii nyerere,na hasemi kuwa nyerere hajafanya kitu katika harakat hizo la hasha,Ila pamoja na nyerere walikuwapo wengine weeengi ambao wameachwa,na yeye anaweka kumbu kumbu Sawa,

Hamchukii yeyote,na kumuelezea kwake kwa wingi nyerere ni ushahid pia Tosha kuwa hamchukii,na hakuna ubaya pia akimpa coverage kubwa vile vile,

Mohamed said anawapenda wazee wake kias Cha kufikia kuwaandika na kuweka kumbu kumbu sawa,amewapa heshima kubwa na upendo hadi inapelekea watu wengine kama wewe kuhis kuwa anawachukia wengine au anayoyaongea juu ya hao wazee kama vile hayana uhalisia,Ila vizur zaid Mohamed said anakuwekea na ushahid had wa picha
Kwani wapi nimesema anamchukia Nyerere?

Nimesema anaji contradict.

Kwenye tazia ya Abbas Sykes kamuandika Nyerere kuliko Abbas Sykes.

Kamtaja Nyerere mara takriban 43, kamtaja Abbas Sykes mara takriban 16.

Halafu analalamika wazee wake wamefunikwa kwenye historia, wakati yeye mwenyewe anawafunika mpaka kwenye tazia.
 
Mawazo,msimamo wako uko sawa na mzee
Lameck makaranga bogohe

Kuna uwezekano mkubwa historia tuliyosoma na kufundishwa imepindishwa

Kuna makala fulani nilisomaga muda sana
Ilikuwa inaelezea sykes alikutana na Dr James kwegyir aggrey nasikia huyu alikuwa mghana na ilikuwa 1924...
Mzee wangu nipe madini kidogo nipate kujua

Ova
 
naona anachokifanya bagamoyo ni kuleta balance ya ambacho umekuwa ukiongea humu siku zote

Kusema Martin alikuwa kibaraka ni kitu cha kutegemewa maana familia yake hadi yeye mwenyewe walifaidika na ukoloni kama elites wa mwanzoni wa Tanganyika hivyo, isingekuwa rahisi kuaminika kama angekuwa na nia thabiti ya kuupinga ukoloni. Kwangu naona ni kawaida kwa watu wa tabaka jingine kuwa insecured

Pia naamini wewe ni picha halisi ya waliokulea katika kukipigania kile unachokiamini hivyo, sitegemei kwa njia yoyote ile kama waliokutangulia kumuongelea Martin katika mlengo chanya kwa kiasi kikubwa

Nadhani ungetusaidia sana kama ungeweka wazi kwamba huyu Martin hakuwa na mchango wowote katika kuanzisha vuguvugu za ukombozi wa Tanganyika au la

Kumuita kibaraka yaweza kuwa out of context kwa kinachojadiliwa maana hata katika awamu iliyopita kuna madaktari, wanasiasa na wafanyabiashara waliitwa majina hayo kwa kusimamia wanachokiamini.

suala kuu ni mchango wake
Eyce,
Historia ya Martin Kayamba imeandikwa na ipo hapa JF.

Mimi nimeisoma yote na ipo katika Bibliography ya kitabu cha Abdul Sykes.

Anaetaka kumjua Martin Kayamba asome vitabu hivyo.
 
Ndugu zangu,
Nimemsoma Martin Kayamba vyema na nimemwandika katika kitabu cha Abdul Sykes.

Hebu someni hapo chini:

KUTOKA JF: HISTORIA YA TANU NA WALE WENGINE WALIOPIGANIA UHURU WAKIWA PEMBEZONI​

Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania June 11, 2014 0
By Raia Fulani
9789976600513: Discipline and Tears: Reminiscences of an African Civil Servant on Colonial Tanganyika - AbeBooks - Mang'enya, Erasto A. M.: 9976600518
Kwenye hiyo link kuna angalau maelezo kuhusu machapisho ya huyu bwana.

Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar Presents Credentials
Chief Erasto A.M. Mang’enya, the new Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar to the United Nations, today presented his credentials to the Secretary-General, U Thant. Ambassador Mang’enya was the representative of Tanganyika to the United Nations in 1963, and as of June 1964 was appointed Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar.

Secretary-General U Thant (left) accepting the credentials of Chief Erasto A.M. Mang’enya, the new Permanent Representative of the United Republic of Tanganyika and Zanzibar to the United Nations.

24 September 1964

Mtanisamehe maelezo hayajakaa vizuri kwa kuwa siko desktop. Mapambano ya kudai uhuru hayakuegemea darisalamu tu na hao wazee. Kulikuwa na engo nyingi za mapambano. Ukisoma vyema kitabu hicho cha Mang'enya utagundua mengi. By default mapambsno yaliwakuta hao waze hapo juu. Tunadhukuru pia kwa michango yao. Avumaye baharini papa. Ila wako wengi

United Nations Photo
Cc FaizaFoxy
Raia Fulani,

Umesema kweli kuwa mapambano hayakuwa yamebebwa na wazee
wetu wa Dar es Salaam peke yao.

Ikiwa umefuatilia mnakasha huu utagundua kuwa hiyo siyo hoja kuu
ambayo mimi FaizaFoxy na wengine tulikuwa tunaisukuma.

Mimi binafsi nilichokuwa nakisema na hapa nitakufahamisha ni kuwa
mbona historia imefuta mchango wa Waislam ambao ndiyo walikuwa
mbele katika kuupigania uhuru wa Tanganyika?

Ndipo nilipoandika kitabu hiki: ''The Life and Times of Abdulwahid
Sykes
(1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against
British Colonialism in Tanganyika,'' Minerva Press London 1998.

Nikimfahamu Mzee Man'genya kwa kuwa wanae nimekwendanao shule.

Katika ujana nilikuwa sikai mbali na mwanae mkubwa aliyekuwa jirani
yangu na katika siku za mwisho wa uhai wake Mzee Mange'nya
alikuwa akija pale kwa mwanae nami kila nikimuona kasimama nje ya
nyumba anapunga upepo nilkwenda kumuamkia na kuzungumzanae
machache.

Wakati huu kitabu hiki kilikuwa kimetoka mimi nilikuwa katika watu
wa mwanzo kukisoma na nilimpongeza Mzee Mang'enya kwa kazi
nzuri.

Kitabu hiki kipo katika ''bibliography'' ya kitabu changu hicho hapo
juu.

Raia Fulani,
Miaka mingi sana imepita toka nikisome kitabu cha Mzee Man'genya lakini hebu soma haya niliyoandika katika kitabu changu na katika kushadihisha nimeweka ''footnote,'' kutoka kitabu hicho.

Nadhani utaona tofauti kubwa iliyokuwapo katika mchango wa
Chief Mang'enya na wengine kama yeye na mchango wa wazee
wangu katika kupigania uhuru wa nchi yetu:

''Associations purported to have been formed to safeguard workers’
interests had existed since early 1930s despite having introduced
the Trade Union Ordinance of 1932; the colonial government was
still very hostile to organised collective action of the working class. [1]
But this did not deter workers from fighting for their rights. None of
the unions or associations that were formed aroused the consciousness
of the working class in Tanzania as the dockworkers did in Dar es
Salaam. There was a very big difference between the Tanganyika
Territory Civil Servants’ Association (TTACA), founded in 1922
by Martin Kayamba, and the Dockworkers’ Union, both in leadership
and in direction.
TTACA was a harmless genuine welfare association,
free from any conflict with the colonial administration. It was ‘a club
for clerks and teachers, with newspapers and a football team, encouraged
by the government’. [2] This association and others of similar nature
formed and led by the educated elite did not achieve much
.''[3]

[1] See Helge Kjeshus, Labour in Tanzania, (Dar es Salaam, 1977),

passim.

[2] Illife, ‘Tanzania Under British Rule’ in B.A. Ogot and J. Kieran (Eds)

Zamani: A Survey of East African History, East African Publishing House,

1968 p. 22 quoted in African Studies Working Paper No. 8, April, 1979, by

G.W. Reeves.

[3] See E.A. Mang'enya, Discipline and Tears, Dar es Salaam,

1984 p. 231.

Raia Fulani
,

Huenda ukawa ufahamu yaliyofanywa na Dar es Salaam Dockworkers Union.
Chama hiki Katibu Mkuu wake kilipoanzishwa 1948 alikuwa Abdul Sykes.

Wakati ule alikuwa na umri wa miaka 24 na ni yale aliyofanya katika chama
hiki ndiyo yaliyompelekea achaguliwe kuwa secretary wa TAA mwaka wa

1950.
Ningependa nikufahamishe kitu kimoja kuwa Martin Kayamba alikuwa kibaraka
wa Waingereza.

Hii ndiyo ilikuwa sifa yake kubwa.

Back
Top Bottom