Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio watu wote ni akina mama wa nyumbani, au akina baba wa nyumbani. Wewe endelea kutulia nyumbani, ila usiku usiwe mgumu kumlipa fadhila!Jamani mwisho wa mwaka huu...tulieni majumbani.poleni twangapepeta.r.i.p baba d
baba diana ni mwanamuziki, sisi ni wafanyakazi... kutulia nyumbani ni sawa na kusema tuache kaziJamani mwisho wa mwaka huu...tulieni majumbani.poleni twangapepeta.r.i.p baba d
Jamani mwisho wa mwaka huu...tulieni majumbani.poleni twangapepeta.r.i.p baba d
Habari zaidi zinasema kuwa marehemu aligongwa na gari aina ya Mercides Benz wakati akitoka kwenye onesho la muziki lililofanyika Aficana, maeneo ya Mbezi jijini Dar es salaam. Mara baada ya kugongwa na gari hilo, ambalo lilisimama, marehemu angeweza kupona, lakini alikanywagwa na magari mengine yaliyokuwa yakitokea Mwenge.
Hakika sote tu waja wa Mwenyezi Mungu na kwake turarejea. Aamin
...INNA LILLAAH WA INNA ILAYHI RAJUUN,
R.I.P "mkaanga chipsi" wa Twanga Pepeta, Mwenyezi Mungu akusamehe uloyatanguliza, akupe malazi mema ewe Baba Diana,
R.I.P Abuu Semhando!
![]()
Marehemu Abou Semhando 'Baba Diana' enzi za uhai wake. Hapo ilikuwa katika show ya Old Skul viwanja vya Karimjee ambapo wakongwe wa muziki walikusanyika kutumbuiza
MSIBA MZITO TWANGA PEPETA! - Global Publishers