Angalia hiyo timeline: Mpakanjia akithibitisha kutengana naye Mei 6, mwaka huu. May 8 ndiyo siku ambayo Amina alikuwa aongee na waandishi wa habari, kumbe siku hiyo hiyo ndiyo akapata magonjwa hayo ya ajabu ajabu.Familia yake imesema marehemu alikuwa na magonjwa mengi ya ajabu yaliyoshindikana kupata tiba ya kitalaam.
Baba wa marehemu, mzee Hamis Chifupa, alisema magonjwa hayo yalimuanza tangu Mei 8 mwaka huu.
Kuhusu taarifa kuwa mwanawe alikufa kwa kisukari Mzee Chifupa alisema marehemu hakuwa na rekodi ya kuumwa ugonjwa huo.
Nuru, tutapata vipi proof bila kuwa na uchunguzi huru? Unakubaliana na mapendekezo yangu ya kuwa na uchunguzi huru? Bw. Mpakanjia mwenyewe mara baada ya mke wake kufariki jana jina la kwanza alilotaja kwa majuto ni hilo hilo la "Nchimbi" akimaanisha kuwa isingekuwa huyo bwana asingemuacha mkewe hadharani hivyo na labda haya yote yangeweza kuepukika.
Naona sasa EN naye ajiuzulu umwenyekiti wa UCCM maana kila kijana akijitokeza kugombea nafasi kwenye hiyo jumuiya ni MAREHEMU au KICHAAAAAA... Nani wa kumwambia ATOKE???? Tumechoka sasa na huyu PhD Feki... JK kweli analiona hili au ndo mzee wake wa kamati ya ufundi????