na ndiyo maana wana JF wengi wanaomba kuwa matokeo ya uchunguzi wa mwili wa Marehemu Amina Chifupa yawekwe bayana ili tujue nini kilimkuta binti huyu, lakini cha kustaajabisha ni kuwa kuna watu wanataka tusahau ya kale na tuangalie yaliyo mbele yetu. Lakini ukweli una baki pale pale kuwa huyu binti malazi aliyokuwa nayo wengi wanayasikia mitaani tu, hakuna chombo wala taasisi iliyoweza kueleza bayana nini kinamsumbua.
Naendelea kumuombea Mheshimiwa Amina Chifupa apate pumziko la milele, Amina.
Naendelea kumuombea Mheshimiwa Amina Chifupa apate pumziko la milele, Amina.