Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipyana malecela,Horace Kolimba,Jane Mihanji. Edward Sokoine, Amina Chifupa. Who is next
.
Familia itabidi waangalie sana, wasiingie kwenye mchezo mbaya wa kuficha uozo. I hope watakuwa na courage ya kusema ukweli wote hata kama ukweli huo utauma. Mtu hawezi kupagawa kwa AIDS wakati sasa kuna madawa chungu nzima ya kumfanya aishi miaka yote.
Nashindwa kuamini hata baada ya masaa 12 toka tulipotangaziwa kuwa Amina hatuko naye tena...nasikia woga, woga wa ni kitu au namnagani hasa dunia hii ya tuishimo inaweza kuwa katili kiasi hiki. Hata kama Amina (Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi) alikuwa na mapungufu kiasi gani - mbona yalikuwa ya kibinadamu tu??? HAKUSTAHILI KUFA JAMANI.
Ligalo ni Hospitali ya jeshi; hivi hata na hawa wanajeshi wanthubutu kuwa upande wa mijahiri na mibeduhi hii inayo maliza watu kwa uroho wa pesa? Pesa ni makaratasi jamani tukumbuke hukumu ya huko alikotangulia huyu dad yangu.
Lugalo jamani, tuelezeni ni daktari gani aliyekuwa naye kipindi choote? Wasidanganye ngoma, mbona watu wana ngoma na wanadunda miaka zaidi ya 15?
Amina dadangu nitakukumbuka daima.........!!