Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mzee Kichuguu,
Hutaki kumjua huyo mtu aliyekuwa akituma messages kibao huko majuu toka kifo kilipotokea, maana kwanza ni mwanachama wa hii forum, halafi ni aibu hata kumtaja ndio maana tulisema tuna data, mkabisha tena wewe ukiwa nambari one, aibu hii kwa mtu mzima!
Lakini subiri tuzike kwanza, Mzee Mswahili tuletee yanayoendelea na ssi tunaendelea kukusanya data, Mswahili ninakusikilizia mkuu wangu katika hili ukisema fungulia mbwa tu, mwanangu tunaanza kumkoma nyani hapa hapa giladi!
This is horrible!! Nadhani Mzee una kisa binafsi na mimi ila naomba tuachie hapo.
Mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu Amina