Buriani Amina Chifupa!

Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
Mzee Kichuguu,

Hutaki kumjua huyo mtu aliyekuwa akituma messages kibao huko majuu toka kifo kilipotokea, maana kwanza ni mwanachama wa hii forum, halafi ni aibu hata kumtaja ndio maana tulisema tuna data, mkabisha tena wewe ukiwa nambari one, aibu hii kwa mtu mzima!


Lakini subiri tuzike kwanza, Mzee Mswahili tuletee yanayoendelea na ssi tunaendelea kukusanya data, Mswahili ninakusikilizia mkuu wangu katika hili ukisema fungulia mbwa tu, mwanangu tunaanza kumkoma nyani hapa hapa giladi!


This is horrible!! Nadhani Mzee una kisa binafsi na mimi ila naomba tuachie hapo.

Mungu aiweke pema peponi roho ya marehemu Amina
 
Mzee Kichuguu,

Heshima mbele mkuu wangu, sina noma na wewe ila nimektumia ujumbe kwa pembeni chek it out!, tena huyu jaamaa amekuwa akiwatumia ujumbe wakina mama tu ina maana ana business siku zote na hawa kina mama huyu?

Bado tunaendelea na msiba wa marehemu Mungu amuweke mahali pema peponi!,
 
Na Mimi Nishasevu Posts Za Wale Wote Waliokuwa Wakimpinga Amina Sasa Liwao Na Liwe Lakini Nadhani Muda Wa Kutazamana Usoni Ushapita Na Kilichobaki Ni Kumake It Plain Kama Malcolm X Alivyokuwa Akisema

Gazeti.jpg
 
Roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi na Mola. Tatizo alilofanya amina nikupanda the same bus alilopanda Ipi Malecela and that is a No...No.. waungwana mnajua. CCM ni mafia
 
Inna lillahi waina ilahi rajioon!

Sina la kusema wala pumzi! ila tu tumwombee Mola ampe pepo! Looh.....

Yaani nashindwa hata kusema kwa sababu juzi tu nimeona picha ya Lowassa akimtembelea waziri mmoja nikaanza kujiuliza maswali mengi. Hivi kweli Lowassa na wengine wote waliofika hapo wanaweza kulala ktk kitanda kile hata kwa usiku mmoja?.. Hivi kweli huyu waziri hastahili kwenda hizo hospital za South Afrika na Uingereza?..
Mara Picha ikaruka kwa marehemu Amina Chifupa, tena nilikuwa karibu sana kuanzisha mada kuuliza kwa nini hatuna news za maendeleo ya huyu Binti? Kwa nini Viongozi wetu hawajafika kumtazama Amina Chifupa! Ama kapelekwa nchi za nje kutibiwa! kumbe ndio kwanza namchulia!....

Haya and the list goes On!..
 
Mzee Kichuguu,

Heshima mbele mkuu wangu, sina noma na wewe ila nimektumia ujumbe kwa pembeni chek it out!, tena huyu jaamaa amekuwa akiwatumia ujumbe wakina mama tu ina maana ana business siku zote na hawa kina mama huyu?

Bado tunaendelea na msiba wa marehemu Mungu amuweke mahali pema peponi!,

Asante nimeipokea message; tuendelee na maombolezo ya huu msiba mkubwa.

Mungu Ailaze Pema Peponi Roho ya Marehemu Amina
 
It seems kuna mengi yalokuwa yakiendelea behind the scene kama heading ya gazeti hili "la udaku" inavyoonyesha.I wish yangekuwa online....

Gazeti.jpg

Kuna aliyepata nakala ya gazeti hili akatupostia habari zenyewe?
 
Kwa wale wasiojua ratiba ya maazishi kesho ni

Kwanza mwili utapelekwa nyumbani kwa baba yake amina huko mikocheni. saa mbili asubuhi.

then saa nne utapelekwa uwanja wa ndege wa dar es salaam kwajili ya kupeleka mwili dodoma.

Saa sita, wabunge watatoa heshima zao wa mwisho.then saa nane utapelekwa mbeya kwa ndege tayari kwa maazishi.

Mungu ailaze pema peponi roho ya dada yetu amina.
 
Ole,
Asante kwa kupost tena hii link ya Amina Chifupa( Marehemu) Naona Mwanakijiji alikuwa sahihi kuliko tulivyodhania. Sishangai kwa nini ameamua kukaa kimya katika sakata hili.
 
Duh! Tanzania inatisha! Binti wa watu alikuwa tayari kusema yote kuhusiana na wale ambao walikuwa wanataka kuharibu ndoa yake na hatimaye kitumbua chake cha ubunge. Hakupewa nafasi hata kidogo ya kutoa alichonacho moyoni, sasa WAMEMKOLIMBA kama walivyofanya kwa Kolimba pale aliposema kwamba CCM haina mwelekeo pia kama walivyofanya walipomuua Edward Moringe Sokoine kwa kula sahani moja na walanguzi wa bidhaa mbali mbali ikiwemo chakula. Mimi nina wasi wasi labda hata Baba wa Taifa alifanyiwa namna pale alipoanza kusema hovyo na kuisagia CCM na sera zake, maana Baba wa Taifa alikuwa fit sana mara tu akawa mgonjwa bin taaban na hatimaye kukutaba na umauti wake.

Mafioso ndani ya BONGO! sijui watawaua wangapi!!!!
 
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi~AMIN.
 
Wazee tunaendelea kukusanya data, tunasikia pia kuna mikono ya wauza unga hapo, ambao marehemu alimpatia majina rais na mkuu wa usalama, ambayo mpaka leo hayajafanyiwa kazi, so far ni rumors tu,

We are putting everything together, yaani tunachambua mchele na pumba tuone exactly, ukweli uko wapi, then tutamkoma nyani hapa hapa Giladi!

Mungu Amlaze Marehemu Amina Chifupa, peponi, ila ninamuahidi kuwa hatakwenda hivi hivi, gates za hell zita-break loose baada ya mazishi, enough!
 
Nawapa Pole Wazazi, Ndugu na Marafiki wa Marehemu. Naomba Mwenyezi Mungu Aiweke Pahali Pema Peponi Roho ya Amina. Amina.

SteveD.
 
ningeweza kuwa na maneno ya kuelezea jinsi ninavyojisikia... nimeyakosa.

jamboonormal_crying.jpg



Mimi naongea hapa japo watu wanasema ni jambo la hatari, mimi ni mdogo. Lakini naamini na ninamuamini Mungu, yeye ndiye mwenye uwezo wa kunisaidia mimi, kama niliandikiwa kufa kwa dawa za kulevya, nitakufa hata nisipozungumza hapa Bungeni.
- Kauli ya Amina Bungeni Novemba 13, 2006
 
Mola amlaze mahala pema peponi! Amina. Poleni wafiwa wote, na pole Mswahili.

asante.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom