Buriani Amina Chifupa!

Buriani Amina Chifupa!

Status
Not open for further replies.
Amina alikula sumu iliyokwenda kuharibu ini haraka sana - pure and simple.

Kama sumu ni kulogwa, basi amelogwa.
You can then throw in the - kuchanganyikiwa kwa akili kutokana na hali ya mambo ilivyokuwa imemzonga wakati huo, i.e., talaka n.k. There you have a perfect scenario ya kulogwa.

I think Mkjj was much closer to the truth than anyone else I have read here in JF.

Hypothesis yako ya kula au kulishwa sumu inayoharibu ini haraka sana inawezekana kuwa ni kweli hasa ikichanganywa na shock aliyokuwa nayo marehemu kutokana na talaka. Kushindwa kula (loss of appetite) kulikofuatia kunaweza kuwa kumetokana na mwili kuwa sukari nyingi na kuharibika kwa ini. Kuharibikiwa kiakili ni sehemu ya madhara yatokanayo na: (a) ini kutofanya kazi kwa vile ubongo unakuwa haupati damu iliyo safi, na (b) nerves kuharibika kutokana na wingi wa sukari mwilini.
 
The truth is that Amina died of AIDS. Hamna cha kulogwa wala nini!! Baba yake anaona aibu kusema ukweli ndio maana anaanza kutoa visingizio kibao mpaka anajichanganya mwenyewe. Kwa taarifa yenu ni kwamba madaktari wa Lugalo walishajua kuwa Amina atakufa and there was nothing they could do.

Hivi kama uchawi upo kweli kwanini tusiutumie uchawi kwa mambo ya maendeleo???

I didn't want to be the first to say it! Some wanted Scotland to come by and say it. But, there you have it! Lakini waswahili watakwambia mbona "alikuwa fiti tu" na kwamba ngoma itamchukuaje mtu in six weeks?

Ngoma ya siku hizi ya kula ma-ARVs inakuja as a stroke, saa nyingine inakuja as pneunomia, saa nyingine inauwa insulin-producing capacity, and you go in two weeks wacha six weeks alizoumwa Amina.

By the way, Mzee Chifupa amesema kwenye hiyo press conference ya jana kwamba alikataa ofa ya Ofisi ya Bunge na ofa ya Mohammed Dewji ya kumpeleka Amina nje kutibiwa. Then tunataka Scotland Yard waje, wajue hiyo habari...na ku-confirm prejudice zao juu ya ujuha ya baadhi ya Waafrika wenzetu.
 
This will be a very peculiar case of "AIDS" case recorded anywhere, let alone in Tanzania.

And as for the case of toxicity from antiretroviral medications that she might have been taking, very doubtful any would have the symptoms puported to have caused her demice.

All signs point to a very potent poison that must have damaged her liver. Lugalo must have determined her liver function as part of her treatment, wouldn't they?
 
Hypothesis yako ya kula au kulishwa sumu inayoharibu ini haraka sana inawezekana kuwa ni kweli hasa ikichanganywa na shock aliyokuwa nayo marehemu kutokana na talaka. Kushindwa kula (loss of appetite) kulikofuatia kunaweza kuwa kumetokana na mwili kuwa sukari nyingi na kuharibika kwa ini. Kuharibikiwa kiakili ni sehemu ya madhara yatokanayo na: (a) ini kutofanya kazi kwa vile ubongo unakuwa haupati damu iliyo safi, na (b) nerves kuharibika kutokana na wingi wa sukari mwilini.

Wanafichaficha tu- alikufa kwa mdudu!
Watu wataongea mengi- nafaham watu wanne hivi ambao walikufa na dalili za AC- kutokana na AIDS.
Maneno ya baba yake- ni kilio tu cha baba kwa mwanae! Swali sijui kwa nini alikuwa hajaanza kutumia ARV au kama alikosea masharti!
 
This will be a very peculiar case of "AIDS" case recorded anywhere, let alone in Tanzania.

And as for the case of toxicity from antiretroviral medications that she might have been taking, very doubtful any would have the symptoms puported to have caused her demice.

All signs point to a very potent poison that must have damaged her liver. Lugalo must have determined her liver function as part of her treatment, wouldn't they?

What were the symptoms that caused her demise?
 
I didn't want to be the first to say it! Some wanted Scotland to come by and say it. But, there you have it! Lakini waswahili watakwambia mbona "alikuwa fiti tu" na kwamba ngoma itamchukuaje mtu in six weeks?

Ngoma ya siku hizi ya kula ma-ARVs inakuja as a stroke, saa nyingine inakuja as pneunomia, saa nyingine inauwa insulin-producing capacity, and you go in two weeks wacha six weeks alizoumwa Amina.

By the way, Mzee Chifupa amesema kwenye hiyo press conference ya jana kwamba alikataa ofa ya Ofisi ya Bunge na ofa ya Mohammed Dewji ya kumpeleka Amina nje kutibiwa. Then tunataka Scotland Yard waje, wajue hiyo habari...na ku-confirm prejudice zao juu ya ujuha ya baadhi ya Waafrika wenzetu.

This hypothesis can also be true. I checked the common ARV side effects as listed here; one of them is Pancreatitis, which can reduce the amount of insulin produced for the body, and another one is Hepatitis/Liver Failure. These two conditions together can lead to high levels of body glucose, loss of appetite and mental disorder.

So far we have two unproved hypotheses that can correctly describe what happened to Amina; the correct one remains unknown.
 
This hypothesis can also be true. I checked the common ARV side effects as listed here; one of them is Pancreatitis, which can reduce amount of insulin produced for the body, and another one is Hepatitis/Liver Failure. These two conditions together can lead to high levels of body glucose, loss of appetite and mental disorder.

Pure science.
 
What were the symptoms that caused her demise?

Those reported are diabetes and malaria? (every high fever is not malaria).
We also now know through her father that she had no food through her entire stay at Lugalo,although I presume intravenous nutrition would have avoided death from this cause.
 
And all these are exclusively associated with poisoning, sio?
 
Hivi kumbe matatizo ya kiafya yalianza Mei 6!!!

Ilongo,

Kuna utata mwingi sana kuzungukia kifo cha marehemu kiasi kuwa sishangai hata mimi bado najaribu kutafakari zaidi. Kwanza nadhani aliyesema kuwa matatizo yake yalianza Mei 6 kakosea kwani iliwahi kuripotiwa kuwa yalimwanza Mei 8, siku ambayo alikuwa akaongee na waandishi wa habari kuhusu mahasidi wake. Marehemu alipewa talaka tarehe 6 Mei angali Dodoma, na kuahidi kuwatangaza hadharani mahasidi wake tarehe hiyo 8 Mei. Siku hiyo ndiyo ambayo baba yake alikutana na waandishi wa habari kudai kuwa matatizo ya Amina yanashughulikwa kifamilia, na ndiyo siku hiyo hiyo hali ya Amina ikaanza kuwa mbaya hadi kifo kilipomkumba.

Ukiangalia upande wa pili, kulikuwa na taarifa zilizooneysha kuwa Mzee huyu alilazimiswa kumnyamazisha binti yake tena kwa vitisho, ingawa yeye mwenyewe hajazungumzia vitisho hivyo na sidhani kama atavizungumza hadharani hata kama ni vya kweli.

Hii timeline ndiyo inayonifanya niwe makini sana katika kutafsiri maelezo ya kisayansi yanayotolewa kuhusiana na kifo chake.
 
wow ! nimefurahi sana kuona JF kuna madaktari, kumbe tunaweza kusevu hela aisee sikujua, maana unajua ukienda tu kumuona daktari utaambiwa 150 dollars au pounds itakutoka hapo hakuna preskripsheni, dawa, cha kumpoza ( hata huku majuu ipo hiyo )!
 
major general asiyejua kuandika jina ..du...mpaka kufika rank hiyo kwa miaka ya zamani hapakuwa na CTU[TMA]..so kuanzia cadet course,seneor course ,compony commender ,...hadi n.d.c...ili uweze kuwa na elimu ya kijeshi ya kupewa u colonel to general lazima upite canada na sundhurst royal...na huko lazima ujue kusoma na kuandika especially kuandaa na kufanya utambuzi wa ramani na mawasiliano...so hiyo kusema ma general wa zamani waliotupa ushindi kwenye vita mbalimbali za ukombozi na kagera kuwa hawajui kuandika YALIKUWA MANENO YA KIJIWENI TU...labda kwa kuwa walikuwa na viswahili vibovu ambalo si aJabu kwa hata wazee wetu tulionao...
natambua uwepo wa majemedari wa kujipachika hasa baada ya mapinduzi ya zanzibar ambapo baada ya muungano palikuwa na maridhiano ya kuwapokea kwa vyeo vyao[bila kuzingatia millitary education ..hawa muda mwingi walitumika jeshini kisiasa zaidi hapa unawaongelea kina GEN.NATEPE,COLONEL SEIF,BRIGEDIA HAMID ets...kwenye front line hakuna aliyewahi kupiganisha vita kati ya hao...though msimamo wao inaheshimika especially ABDALAH NATEPE...
Ukisoma vizuri historia ya mapambano mbali mbali ya ukombozi na kagera utajivunia malemedari imara mf...jenerali twalipo,jenerali musuguri,jenerali mwita kiaro,jenerali silas mayunga,jenerali walden,jenerali tumainiel kiwelu,jenerali mboma[aliyeongoza command ya airforce mstari wa mbele],jenerali mwita marwa,jenerali ngwilizi[aliyepiganisha msumbiji],jenerali msuya,..na wengine wengi mashujaa waliohai na waliotangulia ..woote tunawaheshimu!!!!
 
PM,

Sielewi hii post yako kama imeingia hapa kimakosa kwa vile sioni kama inaendana vizuri na mada
 
Katika issue hii ya kifo cha AC, naamini kuna mtu mmoja tu aliyebeba msalaba wa lawama tani 10: Mzee Chifupa. Kuna uzembe umefanyika.

Sielewi kama ni kutokana na uelewa wake mdogo; au tamaa/matumaini ya kitu fulani. Pia anaonekana ni muumini mzuri wa sayansi ya kiafrika. Huko simo! Ebo!

Kadiri yangu, kifo cha AC kimetokana na timing ya mkono wa mtu...ignition.
 
Mmmmh Mzee Kichuguu napingana nawe kumpa uerevu huyu Mzee kwa sababu tu alikuwa "Brigedia wa Jeshi".Hakuna neno lolote linalomfaa Mzee Chifupa isipokuwa hilo Mjinga!.Kwa taarifa yako tu Mzee Kichuguu tumewahi kuwa na Mkuu wa Majeshi(Major General) asiyejua hata kuandika jina lake.

kaka kichuguu nafikiri sikueleweka kwa kuwa sikuweka qoute..well nilikuwa najaribu kutafakari statement ya ndugu yangu MAWADO..kuhusu kuwahi kuwa na MKUU WA MAJESHI asiyejua kuandika jina lake..thats all...thanks!!
 
Kwa wale wote walibishana bila kufikiri kuwa AC alikufa kwa AIDS

AIDS ni ugonjwa unaojulikana na unaweza kupunguzwa makali kwa nini basi Mzee Chifupa hakuona haja ya mwanae kupelekwa ngambo (tena sio kwa gharama zake) kama kweli tayari alikuwa na rekodi ya kuumwa AIDS na ilishajulikana ameacha kutumia vidonge...Hii theory doesn't add up..pure and simple???

Mzee Chifupa ni mjinga na tena hana hata haya wa aibu..tena natumai anasoma/anasomewa haya ya hapa, Taifa limepoteza Mbunge wewe unakuja kuwaambia UMMA na MATAIFA kuwa Mbunge wetu katika Karne hii ya 21 alikufa kwa UCHAWI...!!! Mzee Chifupa, hao unaowalinda wanakusaidia nini mwanao umeshamzika...kuwa mwanaume na useme ukweli hadharani..maana kama mwanao alimtaja Nchimbi au nani wengine, huyo ni mwanao ambaye ni Marehemu aliyetaja sio wewe (wewe ni mjumbe TU). Badala ya sasa kusimamia ukweli wewe bado unasimamia poroja...ETI kwa Usalama wa Familia yangu, familia yako imeshampoteza Amina..familia ipi tena hiyo unayoiombea Usalama na Usalama upi huo..?? Hao watu hawakutakii mema, damu imeshamwagika sema ukweli taifa litakuona mwenye busara na kesho na kesho kutwa alifanya hili kwa Amina hatarudia tena kwa mwingine.
 
..Dr. Dr. Dr. unatakiwa uungame, najua unasoma hapa kila siku na ndiyo maana sikukupa mkono wangu siku tulipokutana. Kwa kuwa muungwana anakuogopa basi umeshaona na wewe rais.
Mzee Chifupa, nitumie hayo majina kama unaogopa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom