Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Amina alikula sumu iliyokwenda kuharibu ini haraka sana - pure and simple.
Kama sumu ni kulogwa, basi amelogwa.
You can then throw in the - kuchanganyikiwa kwa akili kutokana na hali ya mambo ilivyokuwa imemzonga wakati huo, i.e., talaka n.k. There you have a perfect scenario ya kulogwa.
I think Mkjj was much closer to the truth than anyone else I have read here in JF.
Hypothesis yako ya kula au kulishwa sumu inayoharibu ini haraka sana inawezekana kuwa ni kweli hasa ikichanganywa na shock aliyokuwa nayo marehemu kutokana na talaka. Kushindwa kula (loss of appetite) kulikofuatia kunaweza kuwa kumetokana na mwili kuwa sukari nyingi na kuharibika kwa ini. Kuharibikiwa kiakili ni sehemu ya madhara yatokanayo na: (a) ini kutofanya kazi kwa vile ubongo unakuwa haupati damu iliyo safi, na (b) nerves kuharibika kutokana na wingi wa sukari mwilini.