Buriani Bandari ya Mombasa, Sisi Tulikupenda Wachina Wamekupenda Zaidi

Buriani Bandari ya Mombasa, Sisi Tulikupenda Wachina Wamekupenda Zaidi

Hiyo tutakuja kujua baadae kama hakuna atakaye kuja kudai.. Maana isije kuwa kama Mozambique ambapo serikali zilizopita zilichukua mikopo mikubwa ya kificho Na sasa msala umeisanukia serikali ya sasa Na tayari mmoja ya watoto wa former President wa Mozambique sasa kimemuwakia

Sent using Jamii Forums mobile app

sidhani kama mikopo inachukuliwa kwa kificho, kwa maana pale tunapotumia fedha zetu tunajulishwa. Hata kama ni hatua fulani ya mradi ambao baadaye tunategemea tuukamilishe kwa mkopo. Pia kwa upande mwingine, miradi ambayo imepangwa kwa kutekelezwa kwa mikopo, misaada nk natajwa waziwazi.
 
Back
Top Bottom