Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
MC, poetry, Lyricist, actor, revolutionary, rapper, singer and dentistWasifu wake tafadhali
Wagumu hatufiKila nafsi ITAONJA umauti
Upo bujibuji,kuna mzushi hapa alizusha ya kuzusha kwamba ,,,,,,,jamanii!Nafurahi upo.Tutakukumbuka milele milele yoto, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Lala kwa amani Ninja
View attachment 3107372
Alikuinya,kukuasa na kufanyaje,mtoto mdogo huyo alikuonyaje we babuTutakukumbuka milele milele yoto, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Lala kwa amani Ninja
View attachment 3107372
Kwahiyo Sanga alikua mlaini?Wagumu hatufi
Alinionya nyoko, nyoko, nyokoAlikuinya,kukuasa na kufanyaje,mtoto mdogo huyo alikuonyaje we babu
Rest easy boyTutakukumbuka milele milele yoto, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Lala kwa amani Ninja
View attachment 3107372
Kama kekiKwahiyo Sanga alikua mlaini?
Basi sawaKama keki