TANZIA Buriani Dr. Gilbert Sanga a.k.a Gill Biz

Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.

Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.

JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.

Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.

Lala kwa amani Ninja

Kumbe alikuwa Ninja?
 
allah aliwadanganya
Kumbe unataka ubishani wa kidini, siishi kwa kubishania dini..
Naamini ninachokiamini, amini unachokiamini, kila mtu na maisha yake kila mtu na kaburi lake.

Mie naamini kila nafsi ITAONJA umauti.
Hautaki, siwezi kukushikia bunduki ukubali.

Siku nyingine, ukiona nimepost jambo kuhisu imani yangu, usijisumbue kuleta ubishani sababu hutopata wa kupigizana nae kelele kwa maandishi.
 
Attachments

  • FB_IMG_1727368868627.jpg
    FB_IMG_1727368868627.jpg
    57.3 KB · Views: 6
Mkuu wakati napata taarifa ya daktari Gilbert nilidhani ni wewe maana nakumbuka tulishawahi chati huko nyuma.

Daktari Gilbert Sanga kwa wasiomfahamu ni daktari maarufu wa meno Maeneo ya buguruni kwa Mnyamani mpaka Vingunguti. Wengi wanaoishi maeneo hayo yanamfahamu na pia alikua ni miongoni mwa member wa jamii forum kama sikosei akaunti yake ipo humu japo sina hakika ni jina gani alikua anatumia.

Kifo cha daktari Gilbert kilitokana na shinikizo la juu la damu (Presha) iliyopelekea kupasuka kwa mishipa ya ubongo na damu kuvia kichwani. Marehemu Gilbert siku za mwisho wa uhai wake alionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo kwani alikua anapitia nyakati ngumu japo hakutaka kuziweka wazi. Juzi asubuhi alizidiwa akiwa eneo lake la kazi alisaidiwa na kupeleka Amana Hospital ambapo vipimo vya CT scan vilionesha ana tatizo katika ubungo wake hivyo alikimbizwa Mloganzila na huko ndipo alipopoteza uhai.

Majira ya saa 10 jioni siku ya leo tumemuaga na kumsafirisha pale Kimara kwa matonya ,msiba umeelekea huko Songea kijijini kwao.

"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE"
 
Sasa mbona I'd yake mnaficha aisee mtu mweusi bhana kama wote tunamjua weka I'd Ili tumjue member mwenzetu
 
Apumzike kwa amani...

Miaka ya karibuni vijana wadogo wamekuwa wakiaga dunia...
 
Mkuu wakati napata taarifa ya daktari Gilbert nilidhani ni wewe maana nakumbuka tulishawahi chati huko nyuma.

Daktari Gilbert Sanga kwa wasiomfahamu ni daktari maarufu wa meno Maeneo ya buguruni kwa Mnyamani mpaka Vingunguti. Wengi wanaoishi maeneo hayo yanamfahamu na pia alikua ni miongoni mwa member wa jamii forum kama sikosei akaunti yake ipo humu japo sina hakika ni jina gani alikua anatumia.

Kifo cha daktari Gilbert kilitokana na shinikizo la juu la damu (Presha) iliyopelekea kupasuka kwa mishipa ya ubongo na damu kuvia kichwani. Marehemu Gilbert siku za mwisho wa uhai wake alionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo kwani alikua anapitia nyakati ngumu japo hakutaka kuziweka wazi. Juzi asubuhi alizidiwa akiwa eneo lake la kazi alisaidiwa na kupeleka Amana Hospital ambapo vipimo vya CT scan vilionesha ana tatizo katika ubungo wake hivyo alikimbizwa Mloganzila na huko ndipo alipopoteza uhai.

Majira ya saa 10 jioni siku ya leo tumemuaga na kumsafirisha pale Kimara kwa matonya ,msiba umeelekea huko Songea kijijini kwao.

"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE"
R.I.P Dr 😢💔
 
Hapa ndipo alipohifadhiwa ,ukurasa wake umefungwa rasmi.
 
Attachments

  • IMG-20240928-WA0004.jpg
    IMG-20240928-WA0004.jpg
    89.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom