GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kumbe alikuwa Ninja?Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Lala kwa amani Ninja
Muhogo, kiazi?Uongo
Labda uwe kama miamba ya mwanza, ila vinginevyo mauti lazima uyapitie.Wagumu hatufi
Kumbe unataka ubishani wa kidini, siishi kwa kubishania dini..allah aliwadanganya
sijui kama ndy yeye mweny hyo IDHuyu ndo gilly gru?
Tutakukumbuka milele milele yote, hakikanulikuwa mtu mwema na mwalimumwema.
Daima ulituonya, kutukanya na kutuasa.
JamiiForums watakukumbuka kwa ucheshi na vibweka vyako. Uliniasa nisi disclose ID yako na iendelee kubaki kificho.
Hi-Lo tumelitenda kwa nguvu ya Mungu atupaye Leo na kesho.
Lala kwa amani Ninja
Uongo Biblia haisemi hivyo labda vitabu vingine vilivyojaa uongoKila nafsi ITAONJA umauti
Mzee wa hivyo,ulishindwa kuonyeka na wazee wenzio ukaja kuonyeka na kijana wa watuKwani mimi ni Mzee kiasi gani?
Vipaji vyote hivyo na hajulikani aiseeMC, poetry, Lyricist, actor, revolutionary, rapper, singer and dentist
R.I.P Dr 😢💔Mkuu wakati napata taarifa ya daktari Gilbert nilidhani ni wewe maana nakumbuka tulishawahi chati huko nyuma.
Daktari Gilbert Sanga kwa wasiomfahamu ni daktari maarufu wa meno Maeneo ya buguruni kwa Mnyamani mpaka Vingunguti. Wengi wanaoishi maeneo hayo yanamfahamu na pia alikua ni miongoni mwa member wa jamii forum kama sikosei akaunti yake ipo humu japo sina hakika ni jina gani alikua anatumia.
Kifo cha daktari Gilbert kilitokana na shinikizo la juu la damu (Presha) iliyopelekea kupasuka kwa mishipa ya ubongo na damu kuvia kichwani. Marehemu Gilbert siku za mwisho wa uhai wake alionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo kwani alikua anapitia nyakati ngumu japo hakutaka kuziweka wazi. Juzi asubuhi alizidiwa akiwa eneo lake la kazi alisaidiwa na kupeleka Amana Hospital ambapo vipimo vya CT scan vilionesha ana tatizo katika ubungo wake hivyo alikimbizwa Mloganzila na huko ndipo alipopoteza uhai.
Majira ya saa 10 jioni siku ya leo tumemuaga na kumsafirisha pale Kimara kwa matonya ,msiba umeelekea huko Songea kijijini kwao.
"BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE"
Israel kachukuwa file la vijana ,ukitoboa uzee unakuhusuVijana wadogo wanavuta tatizo ni nini?