Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Buriani Kambale, umetesa sana Ukonga

Wa silaha anaitwa JAMBAZI na mtaani jambazi..
Kama anaye-deal na bodaboda anaitwa jambazi, na wale ambao kuna siku walituvamia benki wakiwa na AK47 pamoja na mabomu ya kurusha kwa mkono tuwaitaje?!

Huyo ni mwizi tu anayetumia silaha dhidi ya raia wasio na silaha... pumbavu zake!
 
Mshana Jr je damu ya huyu jamaa haitawalilia?
Kingine je huyu akitubu anaweza akaona pepo(" hapa kwa kuquote kile kifungu cha wa mwisho atakuwa wa kwanza na wa kwanza atakuwa wa mwisho) ?
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Alimpapasa jamaa yangu huyu mwamba..
Mshkaji anafika geto miguu haitulii ni km bd anakimbiaaa....
Ngoja nimwambiee km ni kweli ataruka maana alikua anamlaani kila siku
sio kwa mbio zilee....
alimgeuza jamaa yangu mandera road.....
 
Mkuu Mimi nakuelewa saana na harakati za mjini
Huyu kambale amenikumbusha Jambazi moja sugu alikuwa anaitwa Ramadan ngonji!
Enzi za kova rpc alimpigaga wanted,
Ngoji alihukumiwa Miaka 8 jela ila alikaaga Ndani miezi 2 akatoka kimipango hku hukumu yke inaendelea..... Cha ajabu aliendelea kufanya uhalifu na wazee walikuwa Wanamtafuta
Ila Mimi nlikuwa na zali ya kukutana naye usiku mnene maana mm siku zote ni mtu wa nightmare
Ngonji alikuwa anatumiaga pikipiki kubwa 250
Kna siku nlikuwa narudi nko mtungi nakutana naye kwenye open space jirani na de mug hotel Kino...... Kalala juu ya pikipiki huku iko on inanguruma......akaniita Jina langu la mtaa(----) kuchek ngonji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa ndy mwanzilishi wa uwizi wa kutumia pikipiki..... Sema siku yke ilifika wazee walimuaa
Maana walimchokaga

Ova
 
wenzake wasikiapo ule wimbo wa PARAPANDAAaa wanajisemea wataachaaaa....baada ya wiki wanarejea mzigoni
 
Back
Top Bottom