Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Superbug,Naomba kukuuliza swali Mzee wangu Je anachofanya yule shehe mwaipopo ni halali?
We mzee mbona unapuuzwa kila kona ya Tanzania. Tanu na CCM hawakutambui juu ya historia zako. Umejaa udini tu.Superbug,
Nakuomba ufungue uzi wa Sheikh Mwaipopo.
Muuza Kangala,We mzee mbona unapuuzwa kila kona ya Tanzania. Tanu na CCM hawakutambui juu ya historia zako. Umejaa udini tu.
Mbona Tanu/CCM hawakubaliani na historia yako?
Mdini tu huna lolote.
Muuza Kangala,Mbona Tanu/CCM hawakubaliani na historia yako?
Economist,Mdini tu huna lolote.
Kwa namna ambavyo hawa jamaa unavyowataja na kuwapa ujiko kuwa wakombozi ni tofauti na namna CCM wanavyowachukulia. Lini na wapi ulishaona CCM ikiwataja kama wewe unavyotaka kuaminisha umma? Tanu na CCM ni ya Julius Nyerere.Muuza Kangala,
Hili swali ungewauliza CCM tukapata jibu.
Je, umewahi kusikia CCM ikisema kuwa haikubaliani na mimi?
Lakini watawakataa wanachama gani wa TANU katika wanachama wa mwanzo na wengine ni katika wale 17 waasisi?
Wanaweza kumkataa Iddi Faiz Mafungo kadi yake ya TANU No. 24 na ya ndugu yake Iddi Tosiri No. 25?
Wanaweza kumkataa Dome Okochi Budohi Kadi No. 6, Dennis Phombeah No. 5, Dossa Aziz No. 4, Abdulwahid Sykes No. 3 na Ally Sykes No. 2.
CCM inaweza kusema kuwa haiwajui wazalendo hawa?
Hii ni historia ya pale TANU HQ New Street, Dar es Salaam.
Katika majimbo kuna akina Ali Migeyo Bukoba, Lindi Salum Mpunga na Yusuf Chembera, Kilimanjaro Yusuf Olotu, Tabora Bilal Rehani Waikela.
View attachment 3623554View attachment 3623555
Muuza Kangala,Kwa namna ambavyo hawa jamaa unavyowataja na kuwapa ujiko kuwa wakombozi ni tofauti na namna CCM wanavyowachukulia. Lini na wapi ulishaona CCM ikiwataja kama wewe unavyotaka kuaminisha umma? Tanu na CCM ni ya Julius Nyerere.
Ndege John,Mzee naomba unielezee kuhusu history ya wanaharakati wa lindi maana lindi ni km home
nipo nje babuNdege John,
Kuna kitabu nimeandika historia ya Salum Mpunga na Yusuf Chembera kipo Mkuki na Nyota Samora Avenue.
Halikadhalika maduka ya Ibn Hazm Msikiti wa Mtoro, Manyema, Mtambani na Kichangani.
Mbona haikubaliki? Mbona CCM hawakukubali? Dunia nzima inatambua Tanu ilikuwa ya Nyerere.Muuza Kangala,
Hilo kwangu si tatizo.
Muhimu kwangu ni kuwa historia niliyoandika ipo na ndiyo hii wewe unaisoma na ushajua hata majina ya watu wa mwanzo waliounda chama cha TANU.
Sio ishu kubwa. Unapuuzwa na kudharauliwa kwa kuwa ni mdini. Mbona watu kama Paul Bomani, Nangwanda Sijaona na wakristo wengi huwazungumzii?
Muuza Kangala,Mbona haikubaliki? Mbona CCM hawakukubali? Dunia nzima inatambua Tanu ilikuwa ya Nyerere.
Muuza Kangala,Sio ishu kubwa. Unapuuzwa na kudharauliwa kwa kuwa ni mdini. Mbona watu kama Paul Bomani, Nangwanda Sijaona na wakristo wengi huwazungumzii?