usilaumu bakwata, wanaobomoa na kuuza majengo ya kihistoria ya zamani ni muslims, mtaa wa samora wote wamebomoa amajengo ya kihistoria ya kuyauza, mfano ulipokuwa mgahawa wa salamander na sehemu nyingine nyingi, histrorical dar yote inabomolewa na kujengwa maghorofa mko kimya, sasa uzauza imewafikia mnaanza kulalamika, hata hospitali ya muhimbili wanataka kuibomoa pia mko kimya, hospitali ambyo imebebea historia ya mji wa dar, soko la kariakoo walichoma moto, soko ambalo lilibeba historia ya mji wa dar, wamejenga jipya ambalo halina soul kabisa.
hivyo lawama zako zote elekezea kwa muslims walio na power wao ndiyo wanapaswa kulinda majengo ya zamani kwa maana sheria za kulinda majengo ya kihistoria zipo, hata lile jengo nafikiri leo ni mahakama mbele ya kilimanjaro hoteli la kihistoria lilikuwa wakati wa awamu ya 4 libomolewe lkn watu wa ndani na nje walipaza sauti na likapona.
hivyo wanaobomoa majengo na kihistoria ya dar ni muslims regimes na siyo Christians, Christians wakiwa in power majengo yote yanatunzwa, wakikiingia muslims ni nyundo tu, kariakoo yote leo hii haitambuliki tena wakati sehemu ya kariakoo ilipaswa kutunzwa kama historical old town.
ni nani aliyetoa kibali cha lile jengo reefu na kuubwa pale karibia na hospitali ya ocean road kujenga mita chache kutoka ikulu ingawaje sheria ilnakataza? ni muslims, ni nani aliaweka uzi kuzunguka ikulu ambapo zamani haukuwepo ni raisi Mwinyi, hivyo anzia hapo ...