TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
IMG-20210708-WA0122.jpg

Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.

Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.

Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri.

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
 
Okay okay asante mkuu, du kitambo sana. Huyu jamaa ni kati ya watu tuliopotezana toka miaka hiyo.halafu very sad kusikia hatunaye tena.kumbe aliendelea kuwa social.

Mama yake(Mwenda Mseke) ni miongoni mwa waalimu walio shape maisha yangu. Tulikuwa tunaenda kula ubwabwa wa wanachuo pale MTC kutoka Ikuti primary. Enzi hizo ubwabwa ni kitu mhimu sana na adimu

R.I.P Peter Mwendamseke
 
Okay okay asante mkuu,du kitambo sana.huyu jamaa ni kati ya watu tuliopotezana toka miaka hiyo.halafu very sad kusikia hatunaye tena.kumbe aliendelea kuwa social.

Mama yake(Mwenda Mseke) ni miongoni mwa waalimu walio shape maisha yangu.Tulikuwa tunaenda kula ubwabwa wa wanachuo pale MTC kutoka Ikuti primary.Enzi hizo ubwabwa ni kitu mhimu sana na adimu

R.I.P Peter Mwendamseke
Pole sana kwa kuondokewa na school mate.
 
Huyu sijui namfahamu au namchanga? Hebu tupia wasifu wake kwa kifupi,hasa alikosoma primary.Ni kama namchanganya na mwingine miaka mingi kule Ikuti Iyunga Mbeya
Alikuwa na meno ya dhahabu, ndio yeye.
 
Amefariki lini? Mbona ni kama kifo na mazishi ni ghaflaghafla
 
Back
Top Bottom