FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nani alimroga? Na umejuaje?Karogwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alimroga? Na umejuaje?Karogwa
Waswahili tunarogana sanaNani alimroga? Na umejuaje?
namimi nilitaka kuuliza hiloHaya mabasi ya Mwendamseke ni yakwake?
Aliumwa au ajali?
Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.
Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.
Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina