TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

Poleni sana. Ni kaka wa mshikaji wangu huyu. Tuwe serious covid ipo ipo kabisa. Tuchukue tahadhari kabisa hasa misibani tunakoenda
 
Hivi kila mtu akifa akafunguliwa uzi umu itakuwaje maana huyu mwamba sijaona sababu ya kufunguliwa uzi ,
 
Yale mabasi madogo yanaayofanya safari Kati ya Iringa to Mbeya, na Njombe ni ya kwake?
 
Covid 19 wimbi la tatu inatulia timing kiaina, tuchukue hatua hizi

Madaktari bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la Covid 19 kimekuja na dalili za kistaarabu fulani,lakini huku kinatuumiza.

Yaani kwa maneno mengine ni kama kinatulia timing hivi,kwa mbinu za kificho tofauti na zile dalili za awali ambazo wengi tulikistukia.

Dalili hizo ni:
1.Kukauka mate mdomoni
2.Kupata vipele mikononi na miguuni
3.Tumbo kuvurugika yaani kuharisha
4.Damu kuganda kwenye mishipa ya moyo ambako husababisha oksijeni kuoungua mwilini hivyo kupata uchovu wa mwili endelevu na mwisho kusababisha vifo vya ghafla.

Hospitali

Ukiona dalili hizi,nenda hospitali kabla hujapima kipimo cha Corona ambacho hata hivyo kinaweza kisioneshe chochote kwamba umeathirika au la,fanya vipimo vifuatavyo:

Full blood picture(FBP)
X-ray ya mapafu
Kinyesi
Sukari
Malaria
Mkojo n.k

Endapo hutakuwa na malaria wala UTI,lakini utakutwa na pneumonia kwenye mapafu au matokeo yoyote yenye wasiwasi kwa mujibu wa daktari,basi ishia hapo hapo na uanze dawa.

Tumia dawa hizi

Hizi hutibu mapafu

Tabs Azithromycin 500mg od 5/7
Tabs Prednisolone 20mg Od 5/7 au Tabs Loratidine 10mg Od 7/7(Hizi ni anti alergy, mojawapo tu inafaa,siyo lazima zote)

Kulinda seli zisiharibiwe kwa kuzijengea ukuta

Tabs Pedzinc 40mg bd 7/7

Kuzuia damu kuganda anti-inflamtion HIZI NDO BABA LAO

Tabs Ascorbic Acid 100mg TDs 7/7(Kidonge kimoja kutwa mara 3)
Ivermectin 12mg od 3/7 (Kidonge kimoja mara moja, itategemeana na uzito wako kwani kilo moja inahitaji 0.2mg.Mpe na mwenza wako ameze ili ajikinge,maana hutumika kama kinga pia)Watu wengi hufa kwa damu kuganda ndani ya mifupa na wanakosa oxygen na moyo kushindwa kufanya kazi.Hizi hulainisha damu na kurudisha oxygen kwenye hali yake above 90.

Vitamins,huongeza kinga

Vitamin D 1tab bd 14/7(Kidonge kimoja mara mbili kwa Siku 14)
VITOCEE 500 (Vitamin C chewing tablets,viko 30,kila siku kimoja)

Kushusha homa

Panadol ya kawaida inafaa

Tumbo kuvurugika
Ikiwa tumbo lako mvurugiko au unaharisha basi tafuta dawa nzuri za kuzuia kuharisha kama loperamine etc

Kinga

Wataalamu wa magonjwa hayo ya upumuaji wanasema unaweza pia kujikinga na Covid 19 kwa kutimia dawa inayoitwa Ivermectin 12mg.

Hii inamezwa kila baada ya wiki mbili.Je inamezwaje?

Kilo moja ya uzito wa mwili inahitaji 0.2mg ya dawa hii.Hivyo ili kujia unahitaji umeze vidonge vingapi, piga hesabu ya uzito wako zidisha 0.2mg halafu gawanya na 12mg.Kwa mfano mwenye uzito wa 60kg anameza kidonge kimoja.Mwenye kilo 120 atameza viwili tu kila baada ya wiki mbili.

Mwisho

Wale wote wanaobisha kwamba Covid 19 haipo hapa nchini, naomba waendelee tu kubisha.Hao bado haijawafikia.Lakini tukumbuke ule usemi wa Rais Mstaafu JK kwamba "Akili za kuambiwa changanya na zako".

Imeandikwa na Mnusurika wa Covid 19, Julai 8,2021
Mkuu ungeifungulia thread isaidie wasomaji kwenye jf
 
Shukran. Ni darasa mur-wa la muda mwafaka.
 
Makaburi ya Kondo yamekuwa kama mbadala wa Kinondoni, yanameza sana watu siku hizi...

R.I.P Petero...
 
Back
Top Bottom