Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ni yeye. Mama yake alikuwa MWALIMU, na baba yake alikuwa anafundisha MTC.Huyu sijui namfahamu au namchanga? Hebu tupia wasifu wake kwa kifupi, hasa alikosoma primary. Ni kama namchanganya na mwingine miaka mingi kule Ikuti Iyunga Mbeya.
AminaApumzike kwa amani bwana Mwendamseke.
RIP BongeView attachment 1846511
Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.
Pole sana kwa kuondokewa na school mate.Okay okay asante mkuu,du kitambo sana.huyu jamaa ni kati ya watu tuliopotezana toka miaka hiyo.halafu very sad kusikia hatunaye tena.kumbe aliendelea kuwa social.
Mama yake(Mwenda Mseke) ni miongoni mwa waalimu walio shape maisha yangu.Tulikuwa tunaenda kula ubwabwa wa wanachuo pale MTC kutoka Ikuti primary.Enzi hizo ubwabwa ni kitu mhimu sana na adimu
R.I.P Peter Mwendamseke
Bonge katuachaRIP Bonge
Alikuwa na meno ya dhahabu, ndio yeye.Huyu sijui namfahamu au namchanga? Hebu tupia wasifu wake kwa kifupi,hasa alikosoma primary.Ni kama namchanganya na mwingine miaka mingi kule Ikuti Iyunga Mbeya