TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

Poleni sana. Ni kaka wa mshikaji wangu huyu. Tuwe serious covid ipo ipo kabisa. Tuchukue tahadhari kabisa hasa misibani tunakoenda
 
Hivi kila mtu akifa akafunguliwa uzi umu itakuwaje maana huyu mwamba sijaona sababu ya kufunguliwa uzi ,
 
Yale mabasi madogo yanaayofanya safari Kati ya Iringa to Mbeya, na Njombe ni ya kwake?
 
Mkuu ungeifungulia thread isaidie wasomaji kwenye jf
 
Shukran. Ni darasa mur-wa la muda mwafaka.
 
Makaburi ya Kondo yamekuwa kama mbadala wa Kinondoni, yanameza sana watu siku hizi...

R.I.P Petero...
 
Huyu sijui namfahamu au namchanga? Hebu tupia wasifu wake kwa kifupi, hasa alikosoma primary. Ni kama namchanganya na mwingine miaka mingi kule Ikuti Iyunga Mbeya.
Ndo huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…