Buriani rafiki na ndugu yangu Salum ''Slim'' Shamte (1951 - 2020)

Buriani rafiki na ndugu yangu Salum ''Slim'' Shamte (1951 - 2020)

Pole sana Mohamed Said, sipati picha maumivu wanayopitia familia , ndugu, na jamaa wa Shamte, ukizingatia bado ndugu zao wengine wako jela, Mungu awasimamie , awajaze nguvu kwa kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ndugu lakini huyu mjomba wako hii haki miliki alisajiri...kama alisajiri huo ndio ushahidi wa haki yake vinginevyo ni ngumu kuamini!
Mkuu siyo uncle wangu kwa hiyo sifahamu chochote ni uncle wa member mwenzetu Elli
 
Ulale pema peponi bro slim shamte umefanya mengi sana tutakukumbuka daima.
 
Kuna watu wengi wanafanya dhuruma Ila wanajificha kwa mgongo wa dini hapa simuhusishi marehemu Shamte maana sijui undani wake nitakuwa naongelea majungu Ila Kuna mmoja alikuwa jaji na anasema me. Nyerere hakumpa ujaji sababu ya dini yake ni wakili maarufu na mtu wa dini lakini undani wake sio Kama unavyojulikana na wengi Ila siku akifariki utasikia sifa nyingi alikuwa mwema mtu wa dini kumbe uongo mtupu
 
Gideon seng'eng'e

Mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya kazi kwenye kampuni ya Katani Ltd na huyu bwana Gidion Seng'enge nimetumia kitabu chake Cha Maelezo Muhimu kwa Mkulima mdogo wa mkonge kufundisha wakulima. Jina hilo halijanitoka. Kuhusu kudhurumiwa kwakweli sifahamu chochote. Kwa ujumla Shamte ni binadamu anayo mapungufu kama binadamu wengine. Tumsamehe na tumuombee, amefanya mengi mazuri, aliwasaidia wakulima wa Hale, Mwelya, mgombezi, magoma, na Magunga kuwa kipato cha kudumu kupitia mkonge. Nina hakika serikali isingefanya alivyofanya Shamte, zaidi wangemuuzia mwekezaji mmoja na wananchi wasingeambulia chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wengi wanafanya dhuruma Ila wanajificha kwa mgongo wa dini hapa simuhusishi marehemu Shamte maana sijui undani wake nitakuwa naongelea majungu Ila Kuna mmoja alikuwa jaji na anasema me. Nyerere hakumpa ujaji sababu ya dini yake ni wakili maarufu na mtu wa dini lakini undani wake sio Kama unavyojulikana na wengi Ila siku akifariki utasikia sifa nyingi alikuwa mwema mtu wa dini kumbe uongo mtupu
Rodrick...
Ikiwa unamkusudia Mussa Kwikima na unataka kujua ukweli nifahamishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Shamte si yule waliomtumhu kwa uhujumu uchumi? Jamaa ni bright kwa kweli nilimuona ITV Dakika 45 alizungumzia korosho nikasema huyu baba sijui kama hawajampa kesi na kweli wakampatia jamani, maana alisema ukweli mchungu.
Nimesoma hii mada na nimeonganisha dots za kurudishwa kwa mali za mkonge hapo tanga.
 
Kuna watu wengi wanafanya dhuruma Ila wanajificha kwa mgongo wa dini hapa simuhusishi marehemu Shamte maana sijui undani wake nitakuwa naongelea majungu Ila Kuna mmoja alikuwa jaji na anasema me. Nyerere hakumpa ujaji sababu ya dini yake ni wakili maarufu na mtu wa dini lakini undani wake sio Kama unavyojulikana na wengi Ila siku akifariki utasikia sifa nyingi alikuwa mwema mtu wa dini kumbe uongo mtupu
Marehemu Wakili Mussa kwikwima alikudhulumu nini mwanaspoti Rodrick? Nimeona mahala kwingine ukimnanga
 
Back
Top Bottom