Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

Mjivuni banaaaaa

Hadi msibani unataka shavu

RiP Mbuguni
 
Niliwahi kukutana mara kadhaa huyu mzee ofisi kwangu na nyumbani kwake(wakati huo akikaa kawe Beach).mzee mwenye utulivu sanaaaa, mtu kujishusha hasaaaa.

Mwanzo sikua namjua yeye ni nani,hadi watu wengine walivyo nieleza juu yake.

Mbele yake nyuma yetu.
 
Nimejifunza kitu….maendeleo ni swala la ushirikiano,hao jamaa walishirikiana na wazungu katka michakato Yao…huenda ata mzee magu ndo ikamuingia ile hali ya uzalendo wa kipumbavu/kichawi…

Ni Sawa na leo kuna uzalendo wa kipumbavu/kichawi unaendelea kwenye kupinga maendeleo…Rejea Dp world….bado watu wanaumagufulization
 
Wewe tupe story ya upande uliobaki maana ya upande mmoja tushaipata.
 
Nina uhakiaka kuna jambo lipo nyuma yake...
Kama kuna mdau mwenye taarifa za upande wa pili aziweke hapa.

Nakumbuka kuna wadau walijibinafsishia baadhi ya mali za uma.. jamaa (magu)akafanya kuzirudisha (mfano sakata la Airtel.. hisa za vodacom, kituo cha DTV)
Kulikuwa kuna mengi nyuma yake
 
MUNGU AMPE PUMZIKO LA AMANI HAKIKA AMETESWA NA WENYE MAMLAKA ILA MUNGU NI MWEMA ATAMTENDEA HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…