BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

Niliwahi kwenda Zanzibar, nilitembelea jumba moja hivi liko pembeni ya mji nikaambiwa ilikuwa nyumba ya mke wa Sultan. Kulikuwa na choo kiko ghorofani, kile choo hakina kishomo ila kwa kwa chini kuna makalai ambayo alikuwa anapewa mtumwa mweusi. Kazi ya huyo mtumwa mweusi ilikuwa kudaka haja kubwa ya malkia kwa kutumia yale mabeseni!! Alikuwa haruhusiwi kuangalia juu, akijisahau akaangalia juu anauliwa!!

Leo hii watu weusi waliofanyiwa ushetani huo na waarabu wamesahau! Wanawaabudu watu walewale kizazi kilekile na kuwaita watu wema!! Laana gani hii!!
 

Hadithi hizo mnapewa na yule Nabii wenu Tito ?? Sultani hakumpiga risasi Lissu wala kumpoteza Bin Saanane wala kutupa watu Coco beach wala wakati wa uchaguzi hakukodi majeshi Burundi kuja kuiba kura na kuuwa watu
 
Hii mbona ni hoja ya kijinga,nyerere alinusurika kupinduliwa,kwame nkurumah alipinduliwa

Nyerere hakunusurika kupinduliwa , ni kuwa alishapinduliwa , Waliokuja kumsaidia kumrudisha madarakani ni jeshi la Uingereza lililokuweko Kenya.

Ili kulipa ihsani , akawa ni kibaraka wao chini kwa chini mpaka kaenda kufia kwao
 
Mzee wetu hao nguruwe aliokua anawinda Sultani alikua anawafanya nini mana hapo kwenye kuwinda nguruwe tu ndo pamenikoshaπŸ˜‚
 
Miaka 18 iliyopita niliwahi kuandika hivi

 
Halafu akakimbilia kuishi uingereza kwa waliohusika kumwondoa?
Can you imagine rais Saddam (RIP) angekimbilia kuishi Marekani?
Mpango ulikuwa ni kukaa naye kama mkumbizi tu ,asiweze kuclaim haki ya kufalme.
 
propag
propaanda tu hizo.Mwaka 1964 kulikuwa na utumwa Zanzibar? Jamshid usultan wake haukufika hata mwaka mmoja.
 
"
Katika kitabu hiki kuna makala ya Jamshid akiwa na watu wapatao 500 wananchi wa kawaida wanaingia porini kuwinda nguruwe.

Sultan Jamshid anaingia porini kwenye msitu mzito bila ulinzi wowote kuwinda pamoja na wawindaji wenzake wamemzunguka wamebeba mikuki."
 
Vitabu vyako vjnaingozwa na Heresay
Hakuna historia yeyote uliyoandika haijusiani na Heresay
Ndio maana kuna makosa mengi san kwenye vitabu vyako

Hapa umeandika kama ulizaliwa tumbo moja na sultani, huku hata mwaka wake wa kuzaliwa huujui, umechapia mara 3.

Unaonyesha wewe ni mtumwa wa akili, kuzaliwa katika utumwa na umezeeka katika utumwa wa akili

Je, tueleze utawala wa Sultan ulileta maemdeleo gani kwa mzanzibar, mpaka uone mapinduzi matakatifu ulikuwa mauaji ya kikatili kwa waarabu?

One biggest truth vitabu vyako vitapotea katika historia. Mark my word.

Wazungu na waarabu walitugeuza tlow rate citizen kwenye nchi zetu, huu ukweli mchungu.

Wajinga nao wanazeeka. Pole kwa kuzeeka na ujinga wako. .
 
Hata kama nguruwe ni Haram kwa kula, waliumbwa na Allah. Waliletwa duniani kwa maana, hata kama hawatakiw kuliwa na binadamu unajuaje kama waliletwa kwa ajili ya survival ya wanyama wengine mwituni

Ukiua nguruwe hao wanayama wengine watakula nini? Unaharibu food chain mwituni

Hawajawahi kuwa na akili hawa wajinga
 
Pigs can also be usefully πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
Your browser is not able to display this video.
 

MKuu ULilishwa MATANGO PORI
 
Sultani alikua anapenda ya kuchomaa au mkaango roast na kachumbari kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…