Mzee embu muogope Mungu wako,kwa hiyo unataka kutuambia kati yako wewe uliyehadithiwa kuhusu Mapinduzi na Wazanzibar wenyewe wakiongozwa na Abdulhaman Babu chini ya Umma party walioshiriki Mapinduzi nani ni mkweli katika Usahihi wa kufanya Mapinduzi hayo?
Ilikuwa ni lazima ili haki ya wazawa ipatikane
Nyerere ni mzanaki Hana nasaba yoyote na uhutuKuliko Nyerere mhutu ??
Wazawa kwani karume sio mzawa?wazawa au watanganyika?
Mtu mweusi ni mtumwa tangu kuzaliwa kwake, hebu angalia hilo andiko utashangaa kuambiwa ni mtu mweusi huyo anayeshabikia utawala wa mwarabu mgeni aliyewatumikisha wenyeji weusi kama mbwa!
Si ndivyo alivyojipakazia ??Nyerere ni mzanaki Hana nasaba yoyote na uhutu
Wazawa kwani karume sio mzawa?
Hayo unasema wewe na uko huru kusema loloteSi ndivyo alivyojipakazia ??
Na maalim SeifKarume ni Mmalawi mkuu, Jumbe na Ali Hassan Mwinyi ni watanganyika
Malengo ya TANU kuisapoti ASP yalikuwa yapi?
Hayo unasema wewe na uko huru kusema lolote
Ni kweli Sultan akirudi kutawala zbar itakua kama Dubai.Ni kweli kwani watu wanapigwa propaganda kapinduliwa sultani wakati Sultani hakuwa mwenye madaraka Zanzibar , aliyepinduliwa ni Waziri mkuu aliyechaguliwa kwa kura chini ya Tume huru ndiye aliyepinduliwa na Nyerere mkatoliki
Ni kweli Sultan akirudi kutawala zbar itakua kama Dubai.
Na maalim Seif
Haizuii zanzibar kuwa koloni letuHakuna nchi ilyoitwa na inayoitwa Tanzania bara , kuna nchi inayoitwa Tanganyika iliyojivalisha koti la Tanzania
Maalim Seif ni mwarabu wa TaboraMaalim Seif ni mpemba wa Mtambwe
Muleba bado ni Tanganyika sio kesiKwenye kumbukumbu kabila lao la wazanaki lilianza kusomeka hapa nchini tangu karne ya 18 maeneo ya Muleba kisha wakahamia Musoma lakini kabla ya hapo naona historia imekaa kimya.
Mtu mwema au ufalme utokanao na watu kamwe hauwezi pata upinzani au mapinduzi kutoka kwa watu wake.
Ukiona ufalme umepinduliwa jua ni ufalme aliojipa madaraka wenyewe,umeua na kuumiza,umeleta madhira kwa watu hadi watu wakauchoka na kuamua kuleta mapinduzi.
Huyo sultan ni moja kati ya watawala walio umiza sana wazanzibar kwa kuwafanya watumwa katika nchi yao,wakati huo yeye sio mzawa halisi wa visiwa hivyo bali ni uzao wa watesi kutokea omani.
Daima mapinduzi matukufu ya enziwe kutoa utawala haramu wa sultani.