BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

Mzee embu muogope Mungu wako,kwa hiyo unataka kutuambia kati yako wewe uliyehadithiwa kuhusu Mapinduzi na Wazanzibar wenyewe wakiongozwa na Abdulhaman Babu chini ya Umma party walioshiriki Mapinduzi nani ni mkweli katika Usahihi wa kufanya Mapinduzi hayo?

Umma party kilikua ni chama cha kikomonist, na same situation kwa HANGA na kundi lake. ulitegemea usikie maneno gani mengine kutoka kwao?
 
Mtu mweusi ni mtumwa tangu kuzaliwa kwake, hebu angalia hilo andiko utashangaa kuambiwa ni mtu mweusi huyo anayeshabikia utawala wa mwarabu mgeni aliyewatumikisha wenyeji weusi kama mbwa!

hayo ya utumwa ni njama za wakristo wakatoliki na waingereza kusingizia waarabu kwani wanatumia hilo jina la waarabu kuepusha kutumia jina la kiislamu , njama zao zinajulikana si hapa kwetu Zanzibar tu dunia nzima iko hivyo
 
Hayo unasema wewe na uko huru kusema lolote

Kwenye kumbukumbu kabila lao la wazanaki lilianza kusomeka hapa nchini tangu karne ya 18 maeneo ya Muleba kisha wakahamia Musoma lakini kabla ya hapo naona historia imekaa kimya.
 
Ni kweli kwani watu wanapigwa propaganda kapinduliwa sultani wakati Sultani hakuwa mwenye madaraka Zanzibar , aliyepinduliwa ni Waziri mkuu aliyechaguliwa kwa kura chini ya Tume huru ndiye aliyepinduliwa na Nyerere mkatoliki
Ni kweli Sultan akirudi kutawala zbar itakua kama Dubai.
 
Kwenye kumbukumbu kabila lao la wazanaki lilianza kusomeka hapa nchini tangu karne ya 18 maeneo ya Muleba kisha wakahamia Musoma lakini kabla ya hapo naona historia imekaa kimya.
Muleba bado ni Tanganyika sio kesi
 
Mtu mwema au ufalme utokanao na watu kamwe hauwezi pata upinzani au mapinduzi kutoka kwa watu wake.

Ukiona ufalme umepinduliwa jua ni ufalme aliojipa madaraka wenyewe,umeua na kuumiza,umeleta madhira kwa watu hadi watu wakauchoka na kuamua kuleta mapinduzi.

Huyo sultan ni moja kati ya watawala walio umiza sana wazanzibar kwa kuwafanya watumwa katika nchi yao,wakati huo yeye sio mzawa halisi wa visiwa hivyo bali ni uzao wa watesi kutokea omani.

Daima mapinduzi matukufu ya enziwe kutoa utawala haramu wa sultani.

Mzee anataka kutuaminisha kwamba Sultani huyu wa mwisho alikuwa mtu mwema sana, tofauti na Usultani wenyewe kwa maana yake. Kwa tafsiri hii ya Mzee kumfurusha kwa namna ile ilikuwa ni makosa na uonezi sana kiasi cha kukosa nauli na kujibanza nyumba mbili.
Taazia hii inalengo la kumfanya Sultani kuwa mtu mwema na kwamba hakutakiwa kufurushwa kwa namna ile. Hazungumzii kuhusu Usultani na kadhia yake kwa watu ila Sultani huyu na wema wake.
Kuna muda Mzee huyu waga busara zinamzidia sana.
 
Piga kazi mzee mudy
1000212538.jpg
 
Back
Top Bottom