Mzee embu muogope Mungu wako,kwa hiyo unataka kutuambia kati yako wewe uliyehadithiwa kuhusu Mapinduzi na Wazanzibar wenyewe wakiongozwa na Abdulhaman Babu chini ya Umma party walioshiriki Mapinduzi nani ni mkweli katika Usahihi wa kufanya Mapinduzi hayo?
Umma party kilikua ni chama cha kikomonist, na same situation kwa HANGA na kundi lake. ulitegemea usikie maneno gani mengine kutoka kwao?