much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
City Owl,
Jitulize na soma taazia ya Sultan Jamshid.
Nazungumza kuhusu damu iliyomwagika Zanzibar.
Ama kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika...
Nisikilize hapo chini:
View: https://youtu.be/VFbn-fjnZE4
Mtu mwema hawezi fanyiwa mapinduzi wewe mzee hata mkijaribu lazima mfeli