BURIANI Sultan Jamshid BIN Abdulla BIN Khalifa (1926 - 2024)

Kutokana na bandiko la Mohamed Said anatanabaisha kuwa utawala wa kisultan Zanzibar ulijaa haki, heri, amani na upendo kwa watu wote.

Sasa naomba kuuliza, kama huo utawala wa kisultan ulikuwa mzuri;

a) Vitabu na simulizi juu ya ukoloni wa Masultan ni vitu vya uongo?

b) Biashara ya utumwa iliyokuwa inafanyika chini ya utawala wa kisultan nayo tulidanganywa?

c) Uonevu, dhuluma na kila aina ya ukatili vilivyokuwa vinafanywa na utawala wa kisultan kumbe na hayo tulidanganywa?

d) Kama utawala wa kisultan Zanzibar ulikuwa wa haki na mwema, kipi kilipelekea watu kufanya mapinduzi?.

Hayo unayaamini wewe, kuna siku sikumbuki kama ni twitter au facebook ilipostiwa picha ya Zanzibar ya enzi hizo imeenea waarabu. Watanganyika wengi waliwashutumu kuwa waliuza watumwa Ila wazanzibari walipinga kuwa muarabu hakuhusika na utumwa wa Zanzibar zaidi ya historia kupindishwa na waingereza

Hapo niliona kuna tofauti kubwa sana kati ya watanganyika na wazanzibar kwa jinsi wanavyoutuzamia utawala wa waarabu visiwani humo.

Kwa hiyo mzee Mohammed anachokiandika si ajabu ndio mtazamo halisi wa wazanzibari wengi
 
Mtoa mada ni jibaba jeusi tii kama mkaa ila linashobokea waarab, yaani mada yake linamaanisha lipo tayari huyo sultan angeendelea kutawala tu, jinga kabisa.
Mtu mweusi ni mtumwa tangu kuzaliwa kwake, hebu angalia hilo andiko utashangaa kuambiwa ni mtu mweusi huyo anayeshabikia utawala wa mwarabu mgeni aliyewatumikisha wenyeji weusi kama mbwa!
 
Hayo unayaamini wewe, kuna siku sikumbuki kama ni twitter au facebook ilipostiwa picha ya Zanzibar ya enzi hizo imeenea waarabu. Watanganyika wengi waliwashutumu kuwa waliuza watumwa Ila wazanzibari walipinga kuwa muarabu hakuhusika na utumwa wa Zanzibar zaidi ya historia kupindishwa na waingereza

Hapo niliona kuna tofauti kubwa sana kati ya watanganyika na wazanzibar kwa jinsi wanavyoutuzamia utawala wa waarabu visiwani humo.

Kwa hiyo mzee Mohammed anachokiandika si ajabu ndio mtazamo halisi wa wazanzibari wengi
Iyo ilikuwa siasa na propaganda ya waarabu wenyewe ili kuwa brainwash wazanzibar wabantu kuwa wao walitendewa mema ili wawaunge mkono wakitaka kurudi baada ya mapinduzi
 
Mtu mwema au ufalme utokanao na watu kamwe hauwezi pata upinzani au mapinduzi kutoka kwa watu wake.

Ukiona ufalme umepinduliwa jua ni ufalme aliojipa madaraka wenyewe,umeua na kuumiza,umeleta madhira kwa watu hadi watu wakauchoka na kuamua kuleta mapinduzi.

Huyo sultan ni moja kati ya watawala walio umiza sana wazanzibar kwa kuwafanya watumwa katika nchi yao,wakati huo yeye sio mzawa halisi wa visiwa hivyo bali ni uzao wa watesi kutokea omani.

Daima mapinduzi matukufu ya enziwe kutoa utawala haramu wa sultani.
Mapinduzi ya kipumbavu, na wanaoendeleza mapinduzi haya na kuyaita matukufu basi hawako sahihi, niwashauri tu wasome dini.

Allah amrehemu na amuingize katika pepo ndugu yetu jamshid

Okello na nyerere huko waliko mhhh! Adhabu kali inawasubiri kwa kile walichowafanyia waislamu
 
Mtu mweusi ni mtumwa tangu kuzaliwa kwake, hebu angalia hilo andiko utashangaa kuambiwa ni mtu mweusi huyo anayeshabikia utawala wa mwarabu mgeni aliyewatumikisha wenyeji weusi kama mbwa!
Dah aisee inasikitisha sana mkuu, huyu mzee nilikuwa namuona wa maana kumbe ni mtu hopeless kabisa, kuna watu wapo radhi kutawaliwa mpaka leo.
 
Iyo ilikuwa siasa na propaganda ya waarabu wenyewe ili kuwa brainwash wazanzibar wabantu kuwa wao walitendewa mema ili wawaunge mkono wakitaka kurudi baada ya mapinduzi

Japo Mimi naona kuna uhusiano mkubwa haswa kidini lakini pia inabidi tu kujiuliza kama mapinduzi ya Zanzibar ni kweli lilikuwa hitaji la wazanzibari na kwa sababu gani. Je wabantu wa Zanzibar kwa kipindi hicho walipitia nini kwa sababu kwa maneno makavu itakuwa ngumu sana kuwaamini wazanzibari kitu kingind
 
Kutokana na bandiko la Mohamed Said anatanabaisha kuwa utawala wa kisultan Zanzibar ulijaa haki, heri, amani na upendo kwa watu wote.

Sasa naomba kuuliza, kama huo utawala wa kisultan ulikuwa mzuri;

a) Vitabu na simulizi juu ya ukoloni wa Masultan ni vitu vya uongo?

b) Biashara ya utumwa iliyokuwa inafanyika chini ya utawala wa kisultan nayo tulidanganywa?

c) Uonevu, dhuluma na kila aina ya ukatili vilivyokuwa vinafanywa na utawala wa kisultan kumbe na hayo tulidanganywa?

d) Kama utawala wa kisultan Zanzibar ulikuwa wa haki na mwema, kipi kilipelekea watu kufanya mapinduzi?.

Hayakua mapinduzi ya halali, wale makafiri laana za Allah ziwe juu yao walifanya uhalifu wakisaidiwa na ndugu yao kafiri kutoka uganda okello kuuwa waarabu/waislamu, leo hii wameshadedi na hukmu inawasubiri makafiri hao, fanya yote ilaa kifo kipo pale pale.
 
Waliopanga mapinduzi ni waislam na ndo waliendelea kutawala visiwa au huyo sultan ni mtume kwamba ni Haram kupinduliwa?

Je watawala baada ya mapinduzi walikuwa makafiri?
 
Hayakua mapinduzi ya halali, wale makafiri laana za Allah ziwe juu yao walifanya uhalifu wakisaidiwa na ndugu yao kafiri kutoka uganda okello kuuwa waarabu/waislamu, leo hii wameshadedi na hukmu inawasubiri makafiri hao, fanya yote ilaa kifo kipo pale pale.
Yale yalikuwa mapinduzi halali ndo maana mpaka Leo yanaitwa mapinduzi matukufu
 
Mapinduzi ya kipumbavu, na wanaoendeleza mapinduzi haya na kuyaita matukufu basi hawako sahihi, niwashauri tu wasome dini.

Allah amrehemu na amuingize katika pepo ndugu yetu jamshid

Okello na nyerere huko waliko mhhh! Adhabu kali inawasubiri kwa kile walichowafanyia waislamu
Je dini inaruhusu masultani?
 
Mapinduzi ya kipumbavu, na wanaoendeleza mapinduzi haya na kuyaita matukufu basi hawako sahihi, niwashauri tu wasome dini.

Allah amrehemu na amuingize katika pepo ndugu yetu jamshid

Okello na nyerere huko waliko mhhh! Adhabu kali inawasubiri kwa kile walichowafanyia waislamu
Huyo Jamshid adhabu Kali inamhusu yeye na mababu zake Kwa kutoka kwao Oman na kuja kutawala nchi ya watu wengine alaaniwe
 
Mtu mweusi ni mtumwa tangu kuzaliwa kwake, hebu angalia hilo andiko utashangaa kuambiwa ni mtu mweusi huyo anayeshabikia utawala wa mwarabu mgeni aliyewatumikisha wenyeji weusi kama mbwa!
issue siyo weusi wa mweka andiko kinachotetewa hapa ni dini. Laiti huyu Sultan angelikuwa wa dini tofauti na mwandishi angelipakwa kila aina ya uovu.
 
Back
Top Bottom