nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Nyie mnaweza kuolewa na WaarabuNa wewe acha shobo kwa makafiri wa kizayuni na makafiri wa kizungu
Waarabu/waislamu wamekuleteeni ustaarabu wewe, mlikua hamjui hata kuvaa nguo wala kujisafisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaweza kuolewa na WaarabuNa wewe acha shobo kwa makafiri wa kizayuni na makafiri wa kizungu
Waarabu/waislamu wamekuleteeni ustaarabu wewe, mlikua hamjui hata kuvaa nguo wala kujisafisha
Lengo la kanisa ktk nini?! Usultani au utawala wa zanzibar kama mada isemavyo?!
Duu! Kwahiyo upo radhi ungetawaliwa na Sultan kutoka Oman kuliko kujitawala?
Nyie mnaweza kuolewa na Waarabu
Hebu kuwa na reasoning kama msomi na tujadili kilichopo hapa..lengo la kanisa soma hicho kitabu utaliona ni kupiga vita uislamu ,
na Lukuvi kaeleza wazi kanisani dhamira yao
Kutokana na bandiko la Mohamed Said anatanabaisha kuwa utawala wa kisultan Zanzibar ulijaa haki, heri, amani na upendo kwa watu wote.
Sasa naomba kuuliza, kama huo utawala wa kisultan ulikuwa mzuri;
a) Vitabu na simulizi juu ya ukoloni wa Masultan ni vitu vya uongo?
b) Biashara ya utumwa iliyokuwa inafanyika chini ya utawala wa kisultan nayo tulidanganywa?
c) Uonevu, dhuluma na kila aina ya ukatili vilivyokuwa vinafanywa na utawala wa kisultan kumbe na hayo tulidanganywa?
d) Kama utawala wa kisultan Zanzibar ulikuwa wa haki na mwema, kipi kilipelekea watu kufanya mapinduzi?.
Hebu kuwa na reasoning kama msomi na tujadili kilichopo hapa..
Achana na ngano za manyema, idrisa na mtoro.
Na hilo lilifanikiwa pata picha uislamu usingethibitiwa Tanzania.. ingekuwaje, pigia mfano wa nchi nyingine ambapo uislamu uliachwa free kutekeleza mambo yakelengo la kanisa soma hicho kitabu utaliona ni kupiga vita uislamu ,
na Lukuvi kaeleza wazi kanisani dhamira yao
View attachment 3189975
Na hilo lilifanikiwa pata picha uislamu usingethibitiwa Tanzania.. ingekuwaje, pigia mfano wa nchi nyingine ambapo uislamu uliachwa free kutekeleza mambo yake
Pia jaribu kufikiri vyema hapa mada ni usultani wa zanzibar na sultanate..lengo la kanisa soma hicho kitabu utaliona ni kupiga vita uislamu ,
na Lukuvi kaeleza wazi kanisani dhamira yao
View attachment 3189975
Pia jaribu kufikiri vyema hapa mada ni usultani wa zanzibar na sultanate..
Na hiko kitabu ni cha kanisa na siasa za tanzania bara..
Wapi na wapi?!
Halafu akakimbilia kuishi uingereza kwa waliohusika kumwondoa?Sultan aliyetoka Oman siyo Jamshid,Jamshid ni kizazi cha mbali sana cha babu wa mababu zake yeye.Sultan wa Oman na Zanzibar ni Seyyid Said aliyefariki 1856.Hapo ufalme wake uligawanywa pande mbili ,Zanzibar alirithi Sultan Majid na Sultan Thuwein ,Oman. JAMSHID alikuwa mswahili na Mtanzania kama sito Fiona na ghilba za CCM.Jamshid alikuwa Sultan kwa mujibu wa katiba,hakuwa mtendaji wa serikali,serikali ilikuwa chini ya waziri mkuu,Mohamed Shamte ambaye mwanaye Adam Shamte amekuwa kada wa kudumu wa CCM.Harakati za uhuru wa Zanzibar zilihusisha ubaguzi wa rangi hivyo chama ZNP kilikuwa karibu zaidi na sultan lakini hata ASP kisingeweza kusajiriwa bila kumtambua sultan kama head of state.Yaliyotokea 1964 ni ghiliba za majirani hasa Tanganyika na waingereza.Zanzibar haikutakiwa tena kuwa sovereign.
Dah aisee inasikitisha sana mkuu, huyu mzee nilikuwa namuona wa maana kumbe ni mtu hopeless kabisa, kuna watu wapo radhi kutawaliwa mpaka leo.
Si mapinduzi ni uvamizi wa Nyerere , msikilize Lukuvi na marehemu Samwel sitta wanavyosema
View: https://www.youtube.com/watch?v=YZyzPDAUc6A
View: https://www.youtube.com/watch?v=NjG8kqVAovc&pp=ygUoc2Ftd2VsaSBzaXRhIGFraW9uZ2VsZXphIGt1aHVzdSB6YW56aWJhcg%3D%3D
View: https://www.youtube.com/watch?v=vEmN617bMJ0&pp=ygUPbHVrdXZpIGthbmlzYW5p
Nyie mnaweza kuolewa na Waarabu
Duu! Kwahiyo upo radhi ungetawaliwa na Sultan kutoka Oman kuliko kujitawala?
Huyu Ali Mwinyi Tambwe Kumbe alikuwa jasusi toka kipindi cha mkoloni?....ndio maana basi alihusika na hii shughuli hata huko Zanzibar.Much...
Wanachama wote wa TANU walikuwa wanaunga mkono ASP kuanzia mwaka wa 1957 chama kilipoasisiwa.
TANU walikuwa na mtu maalum aliyekuwa akipeleka fedha Zanzibar na ndiye alikuwa mwakilishi wa Mwalimu kwa Karume.
Karume alikuwa akija Dar es Salaam akifikia nyumbani kwa mtu huyu.
Mwalimu akaweka kambi ya Kipumbwi Tanga na akamteua Jumanne Abdallah kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga na Ali Mwinyi Tambwe Mkuu wa Wilaya.
Ali Mwinyi Tambwe alikuwa mtu wa Mwalimu sana na wakati wa kupigania uhuru alikuwa mkono wake wa kulia.
Ali Mwinyi na Abdul Sykes ndiyo walimjadili Nyerere nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio vipi wamwingize kugombea nafasi ya President wa TAA 1953 na 1954 TANU iundwe na Mwalimu aongoze mapambano ya kudai uhuru.
Lakini kubwa ni kuwa Ali Mwinyi TANU alikuwa mtu wa Special Branch wakati wa ukoloni.
Kipumbwi ilikuwa chini yake na yeye ndiye aliyemwingiza Mohamed Omari Mkwawa katika harakati za Zanzibar kuelekea uchaguzi wa 1961, 1963 na mapinduzi 1964.
Halikadhalika kwa kazi hii ya Zanzibar Mwalimu alimteua Oscar Kambona kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na Kambona akafanya kazi hii kwa ufanisi na usiri mkuwa na Abdallah Kassim Hanga.
Hata wewe mwenyewe ni kafiri tu
Vipi kuhusu umma party chini ya kina Babu hao hawakuwa Wazanzibari?Jemshid hakupindulia na watu wake, bali walikuwa wavamizi kutoka Tanganyika wakiongozwa na mganda
Tunawapa umeme wa bure na tunawaoa wanawake waoMsijali sahivi Zanzibar ni koloni la Tz bara tutaendelea kuwatawala kwa haki
Huyo Jamshid adhabu Kali inamhusu yeye na mababu zake Kwa kutoka kwao Oman na kuja kutawala nchi ya watu wengine alaaniwe