Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Baba yake aliuawa na majeshi ya Idd Amin Dada akidai ni mchina, wakati huo alikuwa kamanda wa polisi Kagera, na huo ulikuwa mwanzo wa vita vya Kagera.Mfanyabiashara mkubwa wa tasnia ya usafirishaji nchi Zacharia Hanspope amefariki usiku huu.
Zacharia Hanspope pia alikuwa mdau mkubwa wa michezo, na mpaka mwisho wa uhai wake alikuwa ni mjumbe wa kamati ya ligi.l na mwanachama mahiri wa club ya Simba.
Salamu zangu za pole ziende kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, wanamichezo woye, club ya Simba na Watanzania wote kwa ujumla.
Taarifa rasmi itafuata hivi punde.
View attachment 1932727
Ndiyo, walifungwa maisha Mzee rukhsa akaja kuwasamehe. R.I.PNdo alikuwa kwenye Kesi ya kumpindua Nyerere?
Asante sana kwa dondooBaba yake aliuawa na majeshi ya Idd Amin Dada akidai ni mchina, wakati huo alikuwa kamanda wa polisi Kagera, na huo ulikuwa mwanzo wa vita vya Kagera.
Mwaka huu umeondoka na majina makubwa mengi sana. Mungu atutetee
Wewe kama ni muerevu, pitia taarifa za nchi zilizochanja vizuri kama Israel na hata Uingereza... China pia ugonjwa ulikoanzia...Utapata majibu ya ngonjera hizo...Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?
Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771
Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?Wewe kama ni muerevu, pitia taarifa za nchi zilizochanja vizuri kama Israel na hata Uingereza... China pia ugonjwa ulikoanzia...Utapata majibu ya ngonjera hizo...
Pitia hata taarifa za Cuba.. Itakusaidia...
Nashindwa kuelewa baadhi yetu... Kwani Malaria, pamoja na kuwepo madawa kibao, hakuna wanaokufa kwa Malaria?
Na nyinyi sasa acheni kutuchosha na huyo allah wenu. Yaani mnataka tusinywe hata maji!! Huyo allah wenu ana nguvu kuliko huyu tunaye mwabudu sisi?hakuna majina makubwa jina kubwa ni allah pekee yake. hayo majina makubwa ni wewe ndio unaona hivyo
Wewe jamaa ni kiazi..Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?
Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771
Hiyo mahujiano ya efm aliyafanya akiwa hospitali ama kabla hajaenda hospitali? Unajua alichanja lini? Huna akili kabisa.Wewe jamaa ni kiazi..
Mahojiano na Efm uliyasikia? Alithibitisha hakuwa amechanja..
Acha kujifariji nyuma ya ujinga wako,chanjo ni muhimu sana..
Chanjo ni hiari kelele za nini? Tena wewe ni mwongo mkubwa kwenye mahojiano na kitenge pope alisema anaumwa covid na mazungumzo yakaishia hapo. Kitenge akaendelea kusisitiza umuhimu wa chanjo. Hakuna sehemu aliyoulizwa kama ameshachanja au hajachanja.Tusisahau kua huyu mzee alikua amechanja na bado covid imeondoka nae. Utasikia ngonjera za ukichanja inapunguza maumivu ama kulazwa ama vifo, sasa huyu mzee kafariki vipi na alikua amechanjwa?
Nimeona chats zake na Msingwa msemaji wa serikali akilalamika kwamba ugonjwa unatesa sana huku wataalam wa chanjo wanakwmabia ukichwanjwa hutateseka.View attachment 1932771