Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mfanyabiashara mkubwa wa tasnia ya usafirishaji nchi Zacharia Hanspope amefariki usiku huu.
Zacharia Hanspope pia alikuwa mdau mkubwa wa michezo, na mpaka mwisho wa uhai wake alikuwa ni mjumbe wa kamati ya ligi.l na mwanachama mahiri wa club ya Simba.
Salamu zangu za pole ziende kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa, marafiki, wanamichezo woye, club ya Simba na Watanzania wote kwa ujumla.
Taarifa rasmi itafuata hivi punde.