Buriani Zackaria Hanspope

Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?

Uliwahi kusikia kuna chanjo ya malaria?

Umewahi kusikia mtu mwenye chanjo ya malaria amekufa kwa malaria?

Jifunze zaidi kwanza uongeze maarifa.
Hivi unaelewa tofauti kati ya Chanjo na Dawa? Uliwahi kuskia kuna chanjo inayokinga kwa asilimia 100? Ukiambiwa chanjo ina efficacy ya 90% unaelewa maana yake? Upumbavu mwingine ni wa kujitakia.
 
Pole sana ndugu yangu. Jipe moyo mkuu. Ni wengi wamepoteza maisha lakini watu wanalichukulia hili suala kwa ushabiki wa kijinga kabisa.
 
Kwani baada ya mahojiano mtu hawezi kuchanjwa? Kwani chanjo inahitaji maandalizi ya mwaka, si masaa tu? Unashindwa kuelewa nini hapo mkuu.
Ficha upumbavu wako basi? Chanjo haifanyi kazi kwa mtu ambaye tayari ni mgonjwa. Infact chanjo inahitaji wiki tatu mpaka nne (baada ya sindano ya pili kama siyo ya sindano moja) ili ianze kufanya kazi.
 
Ficha upumbavu wako basi? Chanjo haifanyi kazi kwa mtu ambaye tayari ni mgonjwa. Infact chanjo inahitaji wiki tatu mpaka nne (baada ya sindano ya pili kama siyo ya sindano moja) ili ianze kufanya kazi.
Utata wote unaoizunguka chanjo hautokani na kitu chochote bali ujinga. Serikali ilitakia kutia nguvu nyingi kuelimisha watu juu ya hili. Sasa huyu yupo JF. Vipi asiyejua kusoma na kuandika?
 

Faragha ya Msigwa na Hans imevujaje

Msigwa na umaarufu wake alishindwa kwenda kumwona mgonjwa anaishia kumjulia hali kwa whatsapp?
 
Dah..vyeo hivi..Msigwa anamwita Hans Poppe Kaka!!😳😳
 
Yaani wa bongo mmeleta ushabiki wa mpira na wasiasa kwenye chanjo. Chanjo ni suala la kisayansi. Huwezi okotezaokoteza points huku na huko.

Lakini mmeligeuza kuwa ushabiki waliochanja dhidi ya wasiochanja. Ni ujinga mkubwa sana.
Kama si siasa basi hadi sasa hizo chanjo zingekuwa bado zinaendelea na majaribio.
 
Hv hiyo kampuni yake ya usafirishaji inaitwaje
 
Sasa mbona zimepitishwa kidharula? nazungumzia majaribio ya chanjo.
Kupitishwa kwa dharura haimaanishi si bora au si salama. Kuna dawa kibao zilifanyiwa majaribio yote na kupitishwa, lakini baada ya miaka mingi sokoni Ikatolewa sababu ya madhara. Dawa nyingi za ukimwi ziliokuwa zinatumika mwanzo haiztumiki tena leo, sababu zimekuwa na madhara makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…