macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hivi unaelewa tofauti kati ya Chanjo na Dawa? Uliwahi kuskia kuna chanjo inayokinga kwa asilimia 100? Ukiambiwa chanjo ina efficacy ya 90% unaelewa maana yake? Upumbavu mwingine ni wa kujitakia.Hivi unaelewa tofauti ya chanjo na dawa?
Uliwahi kusikia kuna chanjo ya malaria?
Umewahi kusikia mtu mwenye chanjo ya malaria amekufa kwa malaria?
Jifunze zaidi kwanza uongeze maarifa.