Burkina Faso: Jeshi lampindua Rais Kabore. Lasimamisha Katiba na kuvunja Serikali

mapinduzi ndio njia pekee iliyobaki africa ya kuleta mabadiriko
 
Tanzania wamesharidhika na CCM msiwapindue pindue
 
Alishindwa vipi kula na wanajeshi huo.
We ukuona jiwe alivyowapendelea wajeda
 
Stupid Africa, nachukia sana hizi ishu kutokea Afrika, UFARANSA wanafadhili mapinduzi kila kukicha ili wachukue madini kwenye nchi hizo. FRANCO PHONE ni wapumbavu sana.

Acha uongo. Viongozi waumize wananchi Halafu wakipinduliwa mnawasingizia wazungu. Tuwaongoze watu vizuri tuone watapinduliwa.
 
Wewe unaongea ukiwa haupo Buekina Fasso. Burkina Fasso mgogoro wao umeanza zamanj sana tangu kuuawa kwa Thomas Sankara, kwa hivyo bado hawajapata ufumbuzi.
 
Stupid Africa, nachukia sana hizi ishu kutokea Afrika, UFARANSA wanafadhili mapinduzi kila kukicha ili wachukue madini kwenye nchi hizo. FRANCO PHONE ni wapumbavu sana.

Sudan mbona mapinduzi yalifanyika au na vurugu za Somalia?. Viongozi wa Africa wajinga ikiwemo Tanzania.
 
Wewe unaongea ukiwa haupo Buekina Fasso. Burkina Fasso mgogoro wao umeanza zamanj sana tangu kuuawa kwa Thomas Sankara, kwa hivyo bado hawajapata ufumbuzi.
Ngoja waendelee kulipuana tuone kama watapata huo ufumbuzi maana na wewe unaunga mkono kulipuana badala ya kujadiliana.

Na huo ujinga wanafanya hao hao wanajeshi,wakina Sankala walikuwa wanajeshi pia.

Mwisho wa siku wanaojiita wananchi ni kusotea kwa kwenda mbele huku wanajeshi wakila maisha.
 
Jeshi halina hilo jukumu la kuwalinda raia na mali zao.
 
CC: CDF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…