Burkina Faso: Jeshi lampindua Rais Kabore. Lasimamisha Katiba na kuvunja Serikali

Acha uongo. Viongozi waumize wananchi Halafu wakipinduliwa mnawasingizia wazungu. Tuwaongoze watu vizuri tuone watapinduliwa.
Mapinduzi mengi kuna mkono wa wazungu , na pasipo na mkono wa wazungu utasikia wanaiwekea hiyo serikali vikwazo mpk jeshi likabidhi madaraka kwa wananchi , refer Mali coupe de tat na vikwazo vya AU , wkt AU hiyo hiyo ilikuwa kimya kwny mapinduz mengi tu before , AU inatumika kama kivuli cha UN siku hz kuendesha siasa za magharibi barani Afrika bila sisi kujua
 
Unaamanisha wafanye ya Burkinafaso
 
Alishindwa vipi kula na wanajeshi huo.
We ukuona jiwe alivyowapendelea wajeda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wanajeshi wa kule hawataki uongo na unafiki.
 
Uyo alopinduliwa kakaa MDA gan madarakani?
 
Jeshi halina hilo jukumu la kuwalinda raia na mali zao.
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya Nchi ,hili swala la kukimbilia madaraka ya kisiasa kwa visingizio vya kipuuzi ni uhuni..

Eti jeshi linasema usalama ulizorota,sasa Kazi yao ilikuwa inakwamishwa na Rais?

Hawa wanajeshi walishaonja utamu wa siasa toka enzi za kina Sankala,ni ujinga kwa raia wa kawaida kushangilia kwa sababu hakuna cha maana watafaidika chini ya wanajeshi.

Wakiiba pesa huna cha Kuwafanya na wala hawakaguliwi,Sasa hapa mtu unashangilia nini?
 
Hivi waafrika hua wanadhani kupindua Rais ni sifa? Na wananchi utakuta yanashangilia bila kujua kesho yao ikoje
 
Hivi waafrika hua wanadhani kupindia Rais ni sifa? Na wananchi utakuta yanashangilia bila kujua kesho yao ikoje
Watu maskini waliokata tamaa ndio huwa wanashangilia mambo ambayo hakuna kitu watanufaika..

Zaidi ni hasara juu ya hasara,kuishi kwa amri,hakuna kukosoa wala kuandamana,mnawekewa vikwazo uchumi unavurugika lakini wao majeshi wanawakamua na maisha yao yanaendelea kuwa ya Neema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…