Burkina Faso:Mkosoaji Wa Ibrahim Traore Akamatwa

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.

Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika eneo lake la kazi, jijini Ouagadougou.

Kulingana na Patriotic Front, bado haijulikani mahali alipo Yaro, tangu kukamatwa kwake Machi 30, 2025.
 
Dunia ya sasa huwezi ukatawala watu ukategemea wawe kama nyumbu hata Trump analijua hilo sasa huyo Traore ni nani kwamba awe wa kupigiwa makofi tu na kila mtu.

Huyo Traore akimaliza mwaka huu ashukuru Mungu lakini mwakani hachomoki aangalie akina Stresser walivyo leo. Time will tell.
 
Sasa unataka kumfananisha Traore na yule mpumbavu Stresser?
 
Tumbo lako lenyewe unalipa msosi mzuri lakini ajakubwa inakupinga kwa kuharisha.
 
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.

Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika eneo lake la kazi, jijini Ouagadougou.

Kulingana na Patriotic Front, bado haijulikani mahali alipo Yaro, tangu kukamatwa kwake Machi 30, 2025.
Mbombo ngafu
 
Hao si ndio hawa nyumbu wetu walitaka aje kutawala huko kwetu? Na bado movie ndio inakaribia kuanza.
 
Huoni hiyo miradi mikubwa ya kimkakati, Bwawa la Nyerere, SGR, n.k.
Asingeweza kuikamilisha tumshukuru Samia. Magu alishaharibu kabla ya kufa kwake. Ht hivyo SGR iliyofikia 85% ni ya kwenda Moro, ya Makutupora ilikuwa kwenye 30%, Isaka-Mwanza 5% alianzisha miradi mikubwa bila mikakati namna gani angepata pesa. JNHPP ilikuwa chini ya 25% na mzee alishaishiwa pumzi alishaharibu mahusiano na mataifa yenye pesa, alishindwa kuajiri. Tumshukuru kwa kuendelea kuipenda nchi yetu.
 
Acha uongo. Eti asingeikamilisha kweli wewe ni Sangawalogesha kweli kweli.
 
Kakosoe huko mbele kwa akina Trump huku kwetu ukiikosoa serikali inaruka na wewe.
 
Back
Top Bottom