Naunga mkono kilicho fanywa na serikali ya dogo. Keep it up Ibra, go ahead dogo. Enzi France anachukua 60% ya mapato ya Bukina hao wakosoaji walikua kimya, wakati same France analazimisha madini ya Uranium kununua kwa sent 80 za Euro wakati bei ya soko ni euro 200, same wakosoaji walikua wanaona ni sawa tu, walikaa kimya. Mapato ya nchi kwenda kuwekwa central bank ya Ufaransa badala ya nchini mwao, wakosoaji waliona hiyo ni sawa tu. Mwamba kaanza kuwaondoa wananchi wake kwenye lindi la ufukara, wakosoaji wameanza. Huyo aliyekamatwa simtofautishi kabisa na Kabendera. Go ahead Ibrahim, wanaojua matendo ya Ufaransa kwenye nchi za Frankphone wana kuunga mkono.
Mnaomkosoa Traore, nendeni mkatafiti GDP ya nchi zinazo ongea kifaransa za Africa (zile za black Africa ukiondoa za Kiarabu kama Algeria na Tunisia ) then linganisha na English speaking countries. Utashangaa sana. Kule kuna ufukara, sio umasikini