Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
They are acting on orders; let him/her take responsibility.Huyu dogo kaanza kuhalibu sasa
Ni kama vile Magufuri unafanya mengi mazuri afu una kosa utu, ni ujinga kabisa
Sasa unataka kumfananisha Traore na yule mpumbavu Stresser?Dunia ya sasa huwezi ukatawala watu ukategemea wawe kama nyumbu hata Trump analijua hilo sasa huyo Traore ni nani kwamba awe wa kupigiwa makofi tu na kila mtu.
Huyo Traore akimaliza mwaka huu ashukuru Mungu lakini mwakani hachomoki aangalie akina Stresser walivyo leo. Time will tell.
Mbombo ngafuMamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.
Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika eneo lake la kazi, jijini Ouagadougou.
Kulingana na Patriotic Front, bado haijulikani mahali alipo Yaro, tangu kukamatwa kwake Machi 30, 2025.
Hao si ndio hawa nyumbu wetu walitaka aje kutawala huko kwetu? Na bado movie ndio inakaribia kuanza.Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore.
Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo Patriotic Front ilikiri kukamatwa kwa naibu katibu mkuu wake, Romuald Yaro, wakati akiwa katika eneo lake la kazi, jijini Ouagadougou.
Kulingana na Patriotic Front, bado haijulikani mahali alipo Yaro, tangu kukamatwa kwake Machi 30, 2025.
Magufuli kitu gani kizuri amefanya zaidi ya kutuharibia nchi?Huyu dogo kaanza kuhalibu sasa
Ni kama vile Magufuri unafanya mengi mazuri afu una kosa utu, ni ujinga kabisa
Huoni hiyo miradi mikubwa ya kimkakati, Bwawa la Nyerere, SGR, n.k.Magufuli kitu gani kizuri amefanya zaidi ya kutuharibia nchi?
Asingeweza kuikamilisha tumshukuru Samia. Magu alishaharibu kabla ya kufa kwake. Ht hivyo SGR iliyofikia 85% ni ya kwenda Moro, ya Makutupora ilikuwa kwenye 30%, Isaka-Mwanza 5% alianzisha miradi mikubwa bila mikakati namna gani angepata pesa. JNHPP ilikuwa chini ya 25% na mzee alishaishiwa pumzi alishaharibu mahusiano na mataifa yenye pesa, alishindwa kuajiri. Tumshukuru kwa kuendelea kuipenda nchi yetu.Huoni hiyo miradi mikubwa ya kimkakati, Bwawa la Nyerere, SGR, n.k.
Acha uongo. Eti asingeikamilisha kweli wewe ni Sangawalogesha kweli kweli.Asingeweza kuikamilisha tumshukuru Samia. Magu alishaharibu kabla ya kufa kwake. Ht hivyo SGR iliyofikia 85% ni ya kwenda Moro, ya Makutupora ilikuwa kwenye 30%, Isaka-Mwanza 5% alianzisha miradi mikubwa bila mikakati namna gani angepata pesa. JNHPP ilikuwa chini ya 25% na mzee alishaishiwa pumzi alishaharibu mahusiano na mataifa yenye pesa, alishindwa kuajiri. Tumshukuru kwa kuendelea kuipenda nchi yetu.
Huo ndio ukweliAcha uongo. Eti asingeikamilisha kweli wewe ni Sangawalogesha kweli kweli.
Tuendelee kusifiaHuyu dogo kaanza kuhalibu sasa
Ni kama vile Magufuri unafanya mengi mazuri afu una kosa utu, ni ujinga kabisa
Wewe ndiyo ulikuwa mtunza hazina ya TZ?Huo ndio ukweli