Burkina Faso ndiyo nchi pekee ya Afrika yenye trade surplus.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Tanzania tunanunua sana vitu kuliko tunavyouza nje, hivyo kwenye biashara ya bidhaa tuna trade deficit. Lakini sisi hao hao tunauza sana huduma kuliko tunazonunua. Mfano tunaingiza watalii wengi wanotumia pesa nyingi kuliko sisi tunavyotoa watalii nje. So kwenye biashara ya huduma tuna surplus. Ukija kupiga hesabu ya jumla sisi tunatumia pesa nyingi kuliko watu wanazitumia kwetu hivyo tuna trade deficit au biashara hasi.

Burkina Faso ni masikini sana kulinganisha na sisi. Ila baada ya kuingia Traore nchi hiyo imeongeza sana mauzo ya bidhaa zenye thamani nje, hasa dhahabu. Pia wao kihistoria si wanunuzi wakubwa wa bidhaa na huduma kutoka nje. Matokeo yake leo Burkina Faso imekuwa nchi pekee ya Afrika yenye trade Surplus, yaani inayouza huduma na bidhaa nje kwa wingi kuliko inavyonunua.

Kuwa na trade surplus hakuonyeshi kuwa uchumi wa nchi uko vizuri au maisha ya watu ni mazuri ila ni ishara nzuri kuwa nchi inasonga mbele kiuchumi na pia kunaimarisha pesa ya nchi.

Madhara ya biashara hasi ni pamoja na pesa kushuka thamani na nchi kujawa na madeni kama tu mtu mwenye matumizi makubwa kuliko kipato.
 
sisi wa elimu mbali mbali umetuacha hapo kwenye trade surplus
hebu fafanua basi tena na tena ituingie akilini ingawa sie ni maDokta
 
Kuna wakati Japan nayo ilikuwa na hali kama hiyo hata China na Korea Kusini pia zina hali hiyo.

Kwa nchi kama Tanzania ni ngumu kuwa na ziada ya kibiashara kwa sababu nchi haina cha maana cha kuuza nje ila inaagiza karibu kila kitu kutoka nje ya nchi.
 
sisi wa elimu mbali mbali umetuacha hapo kwenye trade surplus
hebu fafanua basi tena na tena ituingie akilini ingawa sie ni maDokta
Ni kama kusema ziada ya biashara. Yaani unauza vitu vyenye thamani kubwa kuliko vile unavyonunua.
 
Hatuna viongozi! Kazi kula bata, misafara mikubwa, kusafiri nje, kukaribisha matapeli ikulu, eti kuwasikiliza kina Steven mengele?!
Kosa ni letu WADANDANYIKA tunawaachia nchi yetu hawa walafi na waongo!
 
Back
Top Bottom